Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hahahaa umenikumbusha mbali sana, basi bhana kuna siku tunavuka boda kwenye zile harakati zetu zileee (najua usha nielewa). Kuna jamaa alikuwa kabeba viroba viwili za hizo mambo jamaa alikuwa anatetemeka njia nzima itakuwa ndio alikuwa anaanza. Ila ata kwa kule nako enda hiyo ishu iko poa tu alafu asikari wa kule wako peace sana ni kitendo cha kuelewana nao tu.

😅😅😅ananipa majaribu makubwa sana!ananichek mno mshikaj anahela chafuuuu...anasema acha woga ww njoo twende🤣
 
Hahahaa umenikumbusha mbali sana, basi bhana kuna siku tunavuka boda kwenye zile harakati zetu zileee (najua usha nielewa). Kuna jamaa alikuwa kabeba viroba viwili za hizo mambo jamaa alikuwa anatetemeka njia nzima itakuwa ndio alikuwa anaanza. Ila ata kwa kule nako enda hiyo ishu iko poa tu alafu asikari wa kule wako peace sana ni kitendo cha kuelewana nao tu.

Huko pande zako lazima nitimbe early nxt yr mkuu!najua wajua🤣
 
Samahani hivi naweza pata till ya voda kwa Bei gani bro
till ya voda mimi sina ya ziada mkuu, ila nakushauri ukaombe ya kwako mwenyewe au kama huna documents tafuta hata za jirani au ndugu/rafiki unaemfahamu ukaombe. Till za voda si za kununua mkonon kwa mtu usiemjua maana huwa zinafungiwa sana mwenye jina lake akiitaka
 
Asante Kaka pia za kuapply mwenyewe ofisi za voda zinagharimu shingap na muda gani pia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] tafadhari
till ya voda mimi sina ya ziada mkuu, ila nakushauri ukaombe ya kwako mwenyewe au kama huna documents tafuta hata za jirani au ndugu/rafiki unaemfahamu ukaombe. Till za voda si za kununua mkonon kwa mtu usiemjua maana huwa zinafungiwa sana mwenye jina lake akiitaka
 
Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.
 
Back
Top Bottom