Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mtaji shi ngapi mkuu ....na unaingiza sh ngap kwa siku
Mtaji kuanzia laki moja na kuendelea ndo itakuwa fresh, lakini mimi nilianza na tsh 30k saiv naona faida hata ya 25k, had 50k siku nyingine kama faida.
Hapa parcel moja nauza tsh 2000 ..nikiwa na parcel 50 tu nikipita ofisi tano zinaisha zote..

Hili hii biz ..pia ongezea na value kidogo, yani kuwa mchangamfu, mchekeshaji hehehe hukosi wateja..

Wanaotafuta Ajira achezi kupoteza Muda hakuna ajira kwa sasa ila kazi zipo za kufanya. Ondoa aibu, mimi nakutana na wenzangu niliomaliza nao chuo, wapo tu eti wamejishkiza, kimshara chenyewe 3k,4k,5k, ukiotea sehemu nzuri ndo 10k hapo ujala, nauli, hujui ni lini utapata kazi ya kueleweka..

Nimegundua Kwamba watu ambao "hawajasoma" wanaingiza pesa nzuri sana kwa sababu hawana cha kupoteza. Wenzangu na mie wenye vi Degree vyetu tunachagua kazi za kufanya..

Mithali 10:4
 
Attachments

  • 20200930_161306.jpg
    20200930_161306.jpg
    148.1 KB · Views: 65
  • 20200929_162612.jpg
    20200929_162612.jpg
    91.3 KB · Views: 62
  • 20200929_162600.jpg
    20200929_162600.jpg
    95.8 KB · Views: 59
  • 20200930_160742.jpg
    20200930_160742.jpg
    118.8 KB · Views: 57
Mtaji kuanzia laki moja na kuendelea ndo itakuwa fresh, lakini mimi nilianza na tsh 30k saiv naona faida hata ya 25k, had 50k siku nyingine kama faida.
Hapa parcel moja nauza tsh 2000 ..nikiwa na parcel 50 tu nikipita ofisi tano zinaisha zote..

Hili hii biz ..pia ongezea na value kidogo, yani kuwa mchangamfu, mchekeshaji hehehe hukosi wateja..

Wanaotafuta Ajira achezi kupoteza Muda hakuna ajira kwa sasa ila kazi zipo za kufanya. Ondoa aibu, mimi nakutana na wenzangu niliomaliza nao chuo, wapo tu eti wamejishkiza, kimshara chenyewe 3k,4k,5k, ukiotea sehemu nzuri ndo 10k hapo ujala, nauli, hujui ni lini utapata kazi ya kueleweka..

Nimegundua Kwamba watu ambao "hawajasoma" wanaingiza pesa nzuri sana kwa sababu hawana cha kupoteza. Wenzangu na mie wenye vi Degree vyetu tunachagua kazi za kufanya..

Mithali 10:4
Hizo 3k, 4k na 5k umemaanisha nini mkuu?
 
Daaaah asee kaka nimekuelewa ndugu nimekupata
 
Sema

Kam a mwangu mm changamotoo mwanzoni make pia sio mwenyeji saaana Dar
 
Hongera mkuu. Mimi kila ijumaa hua ninashusha mzigo wa apple mitaa niliyozoeleka kkoo. Nanunua box 55,000 ambalo lina apples 135 nauza @600, au box la apples 110 kwa same price nauza @800...au box la apples 80 nauza 1000 nanunua Mivinjeni hapa zinakua fresh ambazo zimehifadhiwa katika ubaridi sahihi toka zimefika from SA. Kwa lisaa nakua nimemaliza.
Wateja wanapenda as haziwi zile zimepigwa jua afu zinakua ngumu. So nakua na uhakika wa not less than 20k kila ijumaa na napata za kula mimi na family
 
Nikitaka mkuu napataje nashida nashida nayo sana mkuu. Nipo Arusha
 
Ooooooh ok ila nadhani ilibidi uziandike hivyo hivyo kwa digits mbili mbili maana 3k ni elfu hali kadhalika na hizo nyingine pia...30k ni elfu 30
Hivyo basi laki tatu ni 300k, laki mbili na nusu ni 250k, laki nne ni 400k....mwanzoni ulinichanganya kwenye hizo hesabu sikuelewa kabisa
 
Nikitaka mkuu napataje nashida nashida nayo sana mkuu. Nipo Arusha
Kwa sasa mzigo uliopo ni wa 135 tu, box moja ni 55,000/= ila ni makubwa maana huku wanauza 800 kwa moja. Me ndo navunjaga bei 600 kwa moja.

Gharama za usafiri ni juu yako. i.e kutoka yanapouzwa to ofisi za mabus na kulipia hadi likufikie Arusha. So hapo itaongezeka kama 15k

Nicheki 0714883861
 
Hivi haya matunda yanapendwa kweli
 
Mimi nauza matunda kwa siku mauzo hadi 70elfu nikitoa faida hadi 33elfu napata kwa siku. Nacheza mchezo(kibati) watu mia na ishirini, jina moja ni tsh 2000 ivyo nacheza majina matano kila daily ten. Kwenye faida yangu ya 30elfu natowa ten ya mchezo nabakiwa na 20 hivyo kwa mwezi kikosi M na laki sita ..bila makato yeyote maisha yanasonga.
Achilia mbali na trade forex na kuuza mchele.

Baada ya hapo nakuja kuilaumu serikali.
Mkuu Forex unatumia broker gani.? Maana mi kuna mpuuzi ana customer care mbovu nataka nimuhame
 
Kucheza mchezo [emoji3]

Back
Top Bottom