Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ninafuraha kusoma hivi 😊
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.

Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
Nashindwa kukupata private ukiona inafaa nakuomba tafadhali
 
Niliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
Wewe ni Bepari
 
Hii condition ya mtaji ulotumika inabana.

Binafsi niko na miradi midogo kadhaa inayonipa pesa.... Ipo inaingiza pesa kila siku na ipo n ya vipindi.
Labda nichangie mada kwenye aina ya miradi iliyopo,.

A Miradi inayonipatia kipato kila siku:
√ Duka la nguo na viatu (elly outfits)
√ Saluni ya kiume.
√ Bajaji.

B Miradi inayonipatia kipato kwa vipindi
√ Banda la kuonesha live mechi (maarufu kama kibanda umiza)
√ usambazaji wa wavu za kuvua samaki.

Note: Naendesha miradi hio kwa njia ya "kulisha na kuzaa".

Kulisha
Katika miradi iliyopo, nguo na viatu zinalipa sana. So ninachofanya ni kuongeza scale ktk biashara hio kwa kutumia faida zinazopatikana ktk miradi mingine

Kuzaa
Faida inayopatikana ktk biashara ya nguo na viatu inatumika ktk mgawanyo huu;
+70% inabaki kulinda biashara.
+30% inatumika ktk mahitaji yangu ya kawaida. Kula, kuvaa na kuishi.

Aina gani za nguo zinalipa
 
Kama una car wash ya mtaji wa chini ya m 2 toa mchanganuo hapa
 
Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.View attachment 1248914
Et kiongozi baada ya tozo kuwekwa kwenye miamala biashara inaendaje now???
 
Niliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
Mkuu halafu mwisho wa hiyo laki moja utaichukua au ndo inakua yake?
 
Shukrani kwako mtoa uzi, yaani huu uzi nimeusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho bila kuacha chochote na nimemalizia na comment...Hakika kuna mengi ya kujifunza...Shukrani kwenu wakuu CONTROLA hakuna uchawi
 
Back
Top Bottom