Tech Max
JF-Expert Member
- Mar 21, 2025
- 363
- 335
- Thread starter
- #21
Hapana ,hiyo siyo kamali na siyo dhambi mbele za MUNGU
Hivi Kila tumaini la mbele SI ni kamali hiyo? Kijana anaposoma Hadi degree SI ana bett kwamba baada ya masomo yake atapata ajira na asipopata hiyo ajira SI mkeka umechanika huo? Vivyo hivyo kwa mkulima kwa hiyo hayo yote ni kamali hivyo ni dhambi mbele za Mungu?