Hivi Kila tumaini la mbele SI ni kamali hiyo? Kijana anaposoma Hadi degree SI ana bett kwamba baada ya masomo yake atapata ajira na asipopata hiyo ajira SI mkeka umechanika huo? Vivyo hivyo kwa mkulima kwa hiyo hayo yote ni kamali hivyo ni dhambi mbele za Mungu?
Hivi na wale ambao wanajichekeshachekesha bila maadili....yaani ukingia tu fb utakuta wapo ovyoo.....wengine mashoga.Kutafuta topic yako nzuri, tengeneza content nzuri, post consistently, utapata followers wakiwa wengi utaanza kula matangazo,
Social media ni namna ya ku make pesa nzuri kwa nyakati hizi ambayo vijana wengi bado hawajaistukia ila ndio utajiri ulipo,
Vijana wengi hapa bongo wanatengeneza content kuanzia foods, vichekesho, football etc.
Ukishakua na page inayoeleweka ni mtaji mkubwa sana wa kuuza bidhaa zinazoendana na content unayoitengeneza
ANGALIZO.
Content lazima iwe na quality ya kueleweka hapa inabidi uwe na vifaa vizuri kama camera nzuri iwe ya simu au camera yenyewe pia ujue namna ya ku edit video zako na picha zivutie,
Uwe na mic kama utataka kuwa na sauti halisi.
Uzuri wa Social media hata kama ukiwa unapost kila siku unavoamka asubuhi ukaweka video zako pale ukiwa consistent lazima account ikue na ikuingizie pesa,
Tanzania tuna content creators ila wenzetu kenya wametuzidi hapo achana na ulaya watu wanaotumia social media kama source of income ni wengi sana na wanapiga pesa sana
Sports betting ni zaidi ya kamali, hii ni sayansiBetting (kamali) dhambi mbele za MUNGU, hapana.
Kulipwa ni kupata matangazo, content zako ndio zina determine utapata matangazo ya aina gani, mfano food content wanadhaminiwa na kampuni zinazouza vyombo na cookers, maduka ya vyombo etcHivi na wale ambao wanajichekeshachekesha bila maadili....yaani ukingia tu fb utakuta wapo ovyoo.....wengine mashoga.
Vipi na wao wanalipwa...?
Betting ni moja wapo ya mbinu. Uskaze tako.Betting (kamali) dhambi mbele za MUNGU, hapana.
Anataka pesa za mteremko afu anachagua.....pumbavu sanaa,Betting ni moja wapo ya mbinu. Uskaze tako.
Utakuja kugundua hata betting ni Mungu anahusika.Kamali hiyo mkuu, maisha yenyewe haya si unajua tunapita kufa kupo, MUNGU kwanza... Kama unataka uokoke mkuu Karibu niongoze Sara ya toba
Kama unataka mali utayapata shambani........Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
====================
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 Tsh kwa mwezi
DM upate ujuziMimi nataka kujua namna ya kutengeneza akaunti ya paypal kupokea pesa hapa Tanzania.