Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya.

Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya mwananchi haipo tena,ukikosoa unaonekana huna akili,mbele ya wasio na akili kwa sababu tu ya madaraka waliyonayo.

Mimi nilikuwepo Field tarehe 29 na 30,nilishuhudia mengi sana,na nilirudi nyumbani kwa kudra tu.

Kavuruga kila kitu,mbaya zaidi jeshi la wananchi limeingia katika kuhodhi mamlaka yake linatumika kisiasa,linanuka rushwa,si jeshi la wananchi tena.

Mnatuziba midomo,mnaua,nakufanya kila aina ya unyama,siku zaja,kisasi kitalipwa.
 
Vyombo ya ulinzi na usalama vipo kwa ajiri ya amiri jeshi mkuu na sio wananchi. Vinakuja kuwa vya wananchi tu pale, ambapo amiri jeshi mkuu anavipa amelekezo.. Vyenyewe vinfanya kazi kutokana na matakwa ya CiC
 
Amiri jeshi mkuu yupo kwa ajili ya nani?,tatizo ni mifumo ya kidwanzi,JWTZ limekengeuka
 
We neng'eneka Mello kakaribisha wageni wa sirikali
 
Back
Top Bottom