Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya Bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa Dar Es salaam ahsee kuja kutoboa sio simpo kihivyo.

Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka sanaa, ukiwa kijana wa sasa kizazi kipya inabidi akili yako iwe very smart inayoendana na ushindani na ubunifu wa kisayansi au teknolojia.

Ndani ya jiji la Dar es salaam population rate inakupa nguvu ya kutafuta maana wateja ni watu huwez kwenda kutafuta lindi kwenye watu wachache waliofulia unaacha mji wa kibiashara kama Dar es Salaam

Vijana tupambane kuukataa umasikini, maisha ya sasa niyakukimbizana vibaya mno yaani, tumia akili kutafuta sio nguvu.

Mwisho kabisa fanya kazi zote ila sio Ile ya halmashauri.
 
Ila Wewe pole sana Tena mikoani kutoboa rahisi kuliko dar
Though Mimi ni mzaliwa wa Dar from newborn to college mpk kazi na maisha ila Niko Mkoa Kwa Sasa Kwa short time bwanaa ukitulia fursa zipo abundantly Rudi Mpwayungu nikuoneshe machimbo
 
Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa dar Es salaam ahsee Kuja kutoboa sio simpo kihivyo

Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa Kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka Sanaa, ukiwa kijana wa Sasa kizazi kipya inabidi akili yako iwe very smart inayoendana na ushindani na ubunifu wa kisayansi au teknolojia

Ndani ya jiji la dar Es salaam population rate inakupa nguvu ya kutafuta maana wateja ni watu huwez kwenda kutafuta lindi kwenye watu wachache waliofulia unaacha mji wa kibiashara kama dar Es salaam

Vijana tupambane kuukataa umasikini, maisha ya sasa niyakukimbizana vibaya mno yaani, tumia akili kutafuta sio nguvu.

Mwisho kabisa fanya kazi zote ila sio Ile ya halmashauri
Kujidanganya kwako ni kukubwa sana
 
Mwisho kabisa fanya kazi zote ila sio Ile ya halmashauri 😊😊
 
Kile unachokifanya ndicho kitakacho determine mahali unapopaswa kukifanyia. Kuna fursa zingine zinajibu ukiwa nje ya Dar es Salaam.
Japo kwa asilimia kubwa ukitaka kufanikiwa bila kutumia nguvu kubwa sana basi Dar ndio kwenyewe.
Kwanza mikoani ukabila mwingi sana, ndio maana kwenye hiyo mikoa wanaofanikiwa ni wazawa wa mikoa hiyo. Hili suala la ukabila huwezi kulikuta Dar. Vile vile, fursa yoyote inahitaji watu (wateja). Dar kuna turnover nzuri ya wateja maana population ni kubwa.
 
Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa dar Es salaam ahsee Kuja kutoboa sio simpo kihivyo

Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa Kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka Sanaa, ukiwa kijana wa Sasa kizazi kipya inabidi akili yako iwe very smart inayoendana na ushindani na ubunifu wa kisayansi au teknolojia

Ndani ya jiji la dar Es salaam population rate inakupa nguvu ya kutafuta maana wateja ni watu huwez kwenda kutafuta lindi kwenye watu wachache waliofulia unaacha mji wa kibiashara kama dar Es salaam

Vijana tupambane kuukataa umasikini, maisha ya sasa niyakukimbizana vibaya mno yaani, tumia akili kutafuta sio nguvu.

Mwisho kabisa fanya kazi zote ila sio Ile ya halmashauri
Iv mfano wa cheap labour si ndio hawa wanajiita mateacher

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom