Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa dar Es salaam ahsee Kuja kutoboa sio simpo kihivyo
Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa Kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka Sanaa, ukiwa kijana wa Sasa kizazi kipya inabidi akili yako iwe very smart inayoendana na ushindani na ubunifu wa kisayansi au teknolojia
Ndani ya jiji la dar Es salaam population rate inakupa nguvu ya kutafuta maana wateja ni watu huwez kwenda kutafuta lindi kwenye watu wachache waliofulia unaacha mji wa kibiashara kama dar Es salaam
Vijana tupambane kuukataa umasikini, maisha ya sasa niyakukimbizana vibaya mno yaani, tumia akili kutafuta sio nguvu.
Mwisho kabisa fanya kazi zote ila sio Ile ya halmashauri