Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

Wewe jamaa una chuki na aucho,hamna kiungo fundi kwenye ligi yetu kwa sasa kama aucho
Nashukuru kwa Kugundua kuwa Jamaa huyo ana Chuki tu Binafsi na Kiungo Fundi kutoka Mitaa ya Kawempe na Wandegeya Jijini Kampala na nchini Uganda Khalid Aucho.

Ukiona ninamkubali Mtu jua ni mzuri.
 
Utopolo hamna kitu pale..timu la wazee na wagonjwa kina Djuma Shabani
 
Acha kuamini ujinga nawe utakua mjinga no Moja kwani mo na gsm nani mwenye hela hapo tuanzie sipendi utupotoshe na ujinga wako kwa gsm atacheza match ngapi uwanjani wewe na bobani takataka tu Simba nguvu Moja
 
Wanampa sifa kwa ku-disqualify wachezaji wengine ambao hawapo katika position kama yake

Imagine kwa mechi mbili alizocheza mtu anam-disqualify chama the attacking midfieleder kwa kumlinganisha na Aucho, hapo ndio sababu iliyonifanya nipaze sauti.
Chama ana goli ngapi na asisit ngap uko aliko
 
PUMBA TUPU
 
Daah we jamaa umenichekesha sana leo
Ni mpango mahsusi inajulikana vizuri na kila mdau wa michezo.

Hao viongoz wa serikali Lly Hapi,Mavunde (Mb)Ni chambo tu. Wote ni mashabiki wa utopolo.

Tz badala ya kupambana wawe bora km Simba wanapambana kuishusha Simba. Ni Tz pekee utakuta akili km hizi

Ila Yanga hatochukua ubingwa. Tuweke akiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…