Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

Tulia wewe unajua aucho anacheza namba ngapi? Mkude ana magoli mangapi?
Aucho ni Md lakini hapa wapambe walikuja kusema ni bora zaidi kuliko chama, mzamiru, lwanga pasipo kuzingatia position wanazo cheza.

Statistics zinawaumbua now wanakuja na excuse za kitoto mara alikua kwenye mgogoro na club yake hivyo mara nyingi hakuwekwa hata bench, kuhusisha kua ndio sababu hakuweza kupata goli.

Lakini hiyo bado haikua hoja kwasababu zipo mechi alicheza dakika zote 90 na hakuwa na assist achilia mbali goli au offtarget

Nasisitiza kwasababu hii imekua kama trend, mchezaji kapinga chenga mbili tu tayri mnaanza kumfananisha na neymar.

Ndo mwisho wao huisha vibaya na aibu kubwa kama saporng alivyokuja pamoja na huyo kalinyo walivyo sifiwa
 
Na aucho wanampa promo kua ni bonge la midfileder ila misimu mitatu kwenye national team hana goal, hana assist hata offtarget, ana kadi moja tu ya njano
Sio kazi yake kufunga ( ila ikitokea clear chance kwake atafunga ).

Aucho ni Holding midfielder.... Ubora wa holding midfielder hauangaliwi kwa idadi ya magoli au assist !!

Na ndo maana unaona kutwa anasifiwa kwasababu kazi yake uwanjani anaikamilisha
 
Wanampa sifa kwa ku-disqualify wachezaji wengine ambao hawapo katika position kama yake

Imagine kwa mechi mbili alizocheza mtu anam-disqualify chama the attacking midfieleder kwa kumlinganisha na Aucho, hapo ndio sababu iliyonifanya nipaze sauti.
 
Kuimba ni kupokezana mkuu hahahahaha,zamu yenu sasa Simba ,mmetusumbua saaana alaah
Manara kawaingiza mkenge, alivyo sema kwenye interview kua anajua mbinu walizotumia simba kuhakikisha wanashinda mechi.

Viongozi wa yanga wakakurupuka na kurubunika kirahisi kua sababu ni kuhonga na fitna za kuwahonga timu pinzani kuhakikisha wanacheza rough

Wamesahau mafanikio ya simba hayakua tu ligi kuu bali hadi club bingwa huko simba ilikua na muendelezo mzuri, iliwezekana vipi simba kuhonga timu kama al ahly ili ipate matokeo. GSM kwa ubongo wake wa bundi ameshindwa kujiongeza
 
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda.

2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi.

3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki Kuchekwa na Simba SC ambayo Kufika mbali ni Jadi yake Mkakati wa sasa ni Kuidhoofisha Kiuchezaji kwa Kuumiza Wachezaji Muhimu na itolewe mapema.

4. Mpango ( Mkakati ) uliopo ni Simba SC kupoteza Michezo ( Mechi ) zake Tano tu huku mwanzoni ili Wao Yanga SC watumie huo mwanya wa Kuihujumu Simba SC kupitia Kuhonga Timu Pinzani na Waamuzi ( Referees ) ambao mpaka sasa 85% yao wapo katika Payroll ya GSM.

5. Kuna Kontena kama Mbili au Tatu za Jezi zipo njiani hivyo ili Kuziuza vyema na GSM Kujipatia Faida Kubwa Mkakati ni kuhakikisha Yanga SC inashinda kwa Gharama yoyote ile huku ikiihujumu Simba SC ili kuleta mwamko na Hamasa Kubwa kwa Mashabiki wa Yanga SC na hatimaye Waaminishwe kuhusu Ubingwa wa mapema na waanza Kugombani Jezi Madukani.

6. GSM ambaye pia ndiyo Msimamizi wa Mchakato mzima wa Mabadiliko ya Yanga SC kuwa chini ya Wawekezaji anaanza Kujiandalia Mazingira ya Kuaminiwa na Kukabidhiwa sehemu kubwa ya Klabu ( Timu ) amepanga kutumia Pesa Kubwa ya Kuhonga, Kufanya Ushawishi na Kuimaliza Simba SC Kimchezo na hatimaye Yanga SC iwe Mikononi mwake ( mwao ) Kikatiba.

7. Uwoga mkubwa wa Viongozi wa Yanga SC na Mdhamini wao Mwandamizi GSM kwa Ahadi waliyoitoa mara ya Pili kuwa kwa Msimu huu wa 2021 / 2022 wamesajili Majembe na watakuwa Mabingwa isipotimia yanaweza kuwakuta makubwa kutoka kwa Mashabiki wa Yanga SC hivyo wanachokifanya sasa ni kutumia Pesa zaidi ya ile anayepata Bingwa wa Ligi Kuu Tsh Milioni 500 ili wawe Mabingwa na wawanyamazishe Mashabiki zao ambao Kiasili ni Wakorofi na hawana Uvumilivu pia.

Nuksi tumeshaitoa leo sasa mtatukoma.
Umesahau pia namna mugalu na boko wanavyopaisha mipira juu kwa kutoliona goli baada ya kuhongwa na yanga🤣🤣🤣🤣
 
Hao unaowataja si ndo Best top scorer kwa msimu uliopita au ulikua Jela mkuu?!
Sasa mbona lawama mnazitupa kwa yanga mnasahau wafungaji wenu wameshindwa nini kufunga ata goli moja kwenye mechi 4? Mnajitoaga ufahamu eti au madishi yenu yanayumba, mpira ni takwimu sio udaku udaku
 
Aucho ni Md lakini hapa wapambe walikuja kusema ni bora zaidi kuliko chama, mzamiru, lwanga pasipo kuzingatia position wanazo cheza.

Statistics zinawaumbua now wanakuja na excuse za kitoto mara alikua kwenye mgogoro na club yake hivyo mara nyingi hakuwekwa hata bench, kuhusisha kua ndio sababu hakuweza kupata goli.

Lakini hiyo bado haikua hoja kwasababu zipo mechi alicheza dakika zote 90 na hakuwa na assist achilia mbali goli au offtarget

Nasisitiza kwasababu hii imekua kama trend, mchezaji kapinga chenga mbili tu tayri mnaanza kumfananisha na neymar.

Ndo mwisho wao huisha vibaya na aibu kubwa kama saporng alivyokuja pamoja na huyo kalinyo walivyo sifiwa
Tokea Mightier niseme hapa JamiiForums kuwa Mchezaji Khalid Aucho namkubali na ana Kipaji Kikubwa na cha hali ya Juu kuwazidi Wachezaji wetu wa Simba SC niliowataja umeumia na inakuuma sana.

Leo nakazia tena kuwa Khalid Aucho hana Mpinzani na hakuna Mchezaji wa Simba SC wa nafasi yake ya Kiungo anayemfikia.

Kama hutaki / hupendi Kunywa Sumu Ufe.
 
Wanampa sifa kwa ku-disqualify wachezaji wengine ambao hawapo katika position kama yake

Imagine kwa mechi mbili alizocheza mtu anam-disqualify chama the attacking midfieleder kwa kumlinganisha na Aucho, hapo ndio sababu iliyonifanya nipaze sauti.
Pumbavu....!!!
 
Tokea Mightier niseme hapa JamiiForums kuwa Mchezaji Khalid Aucho namkubali na ana Kipaji Kikubwa na cha hali ya Juu kuwazidi Wachezaji wetu wa Simba SC niliowataja umeumia na inakuuma sana.

Leo nakazia tena kuwa Khalid Aucho hana Mpinzani na hakuna Mchezaji wa Simba SC wa nafasi yake ya Kiungo anayemfikia.

Kama hutaki / hupendi Kunywa Sumu Ufe.
As long as ulisema anakukuna sana, hayo ni mahaba yako siwezi kukuingilia
 
Ikaogopwa na nani? Umelogwa wewe kaizer kakuzabua kama mtoto 4, al ahly kachukua ubingwa afrika wewe wajisifia kufika robo kweli nyau fc wewe

Kununua wachezaji kwani kisinda ajanunuliwa huna timu ya maana mkuu
Na Yanga mkafika 1/8 ya ligi Africa?😝😝😝😝
 
Kwangu mimi Simba kukamiwa sioni ajabu kwa sababu :-
1. Simba ni timu kubwa. Na siku zote timu kubwa hukamiwa na wachezaji wa timu ndogo ili waonekane wanaweza wasajiliwe na Simba au timu nyingine kubwa.
2. Simba ndio timu yenye mafanikio kwa takribani misimu minne mfululizo kwa vyovyote vile lazima wakamiwe tu.

Msimu uliopita Simba ilikamiwa sana lakini ilishinda mechi zake na kuchukuwa ubingwa. Na mwaka huu Simba ikae chini ijipange vizuri kama inahitaji ubingwa tena kwasababu kwanza inakamiwa ni hizi timu ndogo halafu kuna hizi ahadi za wakuu wa mikoa na wabunge wenye mrengo wa mpinzani wake wanakuja kuongeza mzigo wa pesa juua yake. Kazi ipo kwenu Simba kujiandaa na hili jambo kwani walichokesea hao jamaa ni kutoka hadharani kwa hiyo kwenu ni rahisi sasa kutegua hiyo mitego.

Tatizo langu kubwa mimi ni waamuzi. Kwa mfano kwa mchezo wa jana kati ya Simba na Dodoma niliona refa wa mchezo ule akiwaacha wachezaji wa Dodoma wawaumize kwa makusudi wachezaji wa Simba tangu mchezo unaanza. Na hata lile tukio alilotoa kadi nyekundu japo lilifanyika mbele yake alitaka kuua soo mpaka alipoona Kennedy anatolewa nje ndipo alipotoa hiyo kadi. Vinginevyo Kennedy angesimama akaendelea na mchezo basi angetoa kadi ya njano. Mpaka ilifika mahali nikahisi yule refa anachezesha kwa maelekezo maalum. Huyo refa Leakitafutwa akakalishwa mahali akaonyeshwa mechi yote "recorded" kuanzia mwanzo mpaka mwisho halafu akaulizwa ilikuwaje mchezaji Hoza wa Dodoma jiji akamaliza dakika zote 90 bila "red card" nina hakika atakataa kuwa yeye ndiye alikuwa muamuzi wa ule mchezo.

Huwa najiuliza hivi waamuzi wetu huwa hawaoni jinsi waamuzi wengine wanavyochezesha? Na uamuzi huwa wanasomea/wanajifunzia wapi?. Juzi tu hapa kulikuwa na mashindano ya vilabu vya Afrika Mashariki kuna muamuzi mmoja kama sikose anaitwa Gotagota kutoka kati ya Rwanda au Burundi je waamuzi wetu walijifunza nini kwake? Kazi ya waamuzi si tu kupuliza filimbi ni pamoja na kuwalinda wachezaji dhidi ya wachezaji wenzao? Na pia waamuzi wetu wafahaamu sio kila mara wala sio kanuni kuwa eti lazima umuonye mchezaji mara mbil halafu ndio umpe kadi. Wakati mwingine mchezaji akicheza rafu hatarishi hata kama ni dakika ya kwanza na hata kama ni rafu ya kwanza wanatakiwa wamuadhibu kulinga na uzito wa hilo kosa.
 
Bila ya kufanya hivyo utopolo haiwezi kuchukua ubingwa kwa miaka hii kwa kuwa wanakata pumzi round ya pili kwakuwa timu inachezwa sana mdomoni kuliko uwanjani
 
Ikaogopwa na nani? Umelogwa wewe kaizer kakuzabua kama mtoto 4, al ahly kachukua ubingwa afrika wewe wajisifia kufika robo kweli nyau fc wewe

Kununua wachezaji kwani kisinda ajanunuliwa huna timu ya maana mkuu
wewe unajivunia kumfunga mtani mara nyingi, ahahhaaa
 
NAUNGA MKONO , UMAFIA ULIOPANGWA SI WA KITOTO JANA USIKU KUCHA WAHUNI WA DODOMA JIJI WALIGOMBEZWA BAADA YA KUSHINDWA KUWAVUNJA VIZURI WACHEZAJI WA SIMBA INATEGEMEWA AHADI IJAYO WATAPATIKANA VILEMA WATATU KWENYE FIRST 11 YA SIMBA, AHADI ZA WALEZI ZIENDELEE
 
Aucho ni Md lakini hapa wapambe walikuja kusema ni bora zaidi kuliko chama, mzamiru, lwanga pasipo kuzingatia position wanazo cheza.

Statistics zinawaumbua now wanakuja na excuse za kitoto mara alikua kwenye mgogoro na club yake hivyo mara nyingi hakuwekwa hata bench, kuhusisha kua ndio sababu hakuweza kupata goli.

Lakini hiyo bado haikua hoja kwasababu zipo mechi alicheza dakika zote 90 na hakuwa na assist achilia mbali goli au offtarget

Nasisitiza kwasababu hii imekua kama trend, mchezaji kapinga chenga mbili tu tayri mnaanza kumfananisha na neymar.

Ndo mwisho wao huisha vibaya na aibu kubwa kama saporng alivyokuja pamoja na huyo kalinyo walivyo sifiwa
Lete huo Uzi kama hujaumbuka,alieleta huo Uzi ni huyu huyu mleta huu Uzi tena ni mwana mbumbumbu mwenzako.
 
Back
Top Bottom