Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Aucho ni Md lakini hapa wapambe walikuja kusema ni bora zaidi kuliko chama, mzamiru, lwanga pasipo kuzingatia position wanazo cheza.Tulia wewe unajua aucho anacheza namba ngapi? Mkude ana magoli mangapi?
Statistics zinawaumbua now wanakuja na excuse za kitoto mara alikua kwenye mgogoro na club yake hivyo mara nyingi hakuwekwa hata bench, kuhusisha kua ndio sababu hakuweza kupata goli.
Lakini hiyo bado haikua hoja kwasababu zipo mechi alicheza dakika zote 90 na hakuwa na assist achilia mbali goli au offtarget
Nasisitiza kwasababu hii imekua kama trend, mchezaji kapinga chenga mbili tu tayri mnaanza kumfananisha na neymar.
Ndo mwisho wao huisha vibaya na aibu kubwa kama saporng alivyokuja pamoja na huyo kalinyo walivyo sifiwa