Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi.

Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi.

Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁

Screenshot_20240223-142748_Bing.jpg
Screenshot_20240223-141830_Bing.jpg
 
Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi.

Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi.

Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁

View attachment 2913288View attachment 2913289
Mungu ana mambo mengi sana ya kufanya,pili quality ndiyo itakayo amua.Jiulize quality yako na Asec ni sawa,fitness yako na timu iliyo sheheni vijana wadogo ambayo avarage yao 19-24 mpo sawa,halafu hawa Asec wachezaji wao wengi wanapitia kwenye mifumo maalumu,ndio maana waeshauza wachezaji wengi na waliofanikiwa ulaya.

Halafu Yanga na Simba hazijawahi kuombeana,zaidi ya unafiki mbele za watu ila mioyoni wanataka mpinzani wake apigwe amcheke.
 
Kwaio kumbe hata Asec ni wa Mungu, km ni hivyo basi simba wafungwe tu
Asante Babu Maombi yako atayafanyia kazi ukiona kimya ujue hayajajibiwa na utajua kua hata wanaokuombea vibaya hua hayajibiwi.

Ila ukiona Maombi yako yamejibiwa basi Amini hata wanaokuombea UFE maombi yao yatajibiwa.
 
Mungu ana mambo mengi sana,pili quality ndiyo itakayo amua.Jiulize quality yako na Asec ni sawa,fitness yako na timu iliyo sheheni vijana wadogo ambayo avarage yao 19-24 mpo sawa.

Halafu Yanga na Simba hazijawahi kuombeana,zaidi ya unafiki mbele za watu ila mioyoni wanataka mpinzani wae apigwe amcheke.
Mungu ana mambo mengi??

Una mawasiliano nae.Yani unadhani Mungu ni kama Mchepuko wako anaekwambia Leo amebanwa na kazi hawez tokea.
 
Una mtindio wa ubongo? Hoja yako ni nini hasa? Hao Asec sio wa Mungu? Mbona una unataka kujimilikisha uyo unayemuita Mungu? Kwamba Asec wasiombewe washinde? Au Mungu anawapenda sana Simba?
Sijasema Asec sio wa Mungu.

Na kuhusu Mtindio wa Ubongo hata siumii kikubwa hua na kukaza na huuuhuu Mtindio wa Ubongo.
 
Mungu ana mambo mengi??

Una mawasiliano nae.Yani unadhani Mungu ni kama Mchepuko wako anaekwambia Leo amebanwa na kazi hawez tokea.
Yaani asikilize maswala yenu ya mpira awaache huko Palestine, Congo,ashughulike na upumujia na mapigo ya moyo ya kila mtu.

Hata yy mwenye kasema ombeni mtapewa tafuteni mtapata,hapo kwenye kutafuta ndipo kuna kujishughulisha,maandalizi ya mchezaji mmoja mmoja,match fitness, training facilities. So mwenye nazo ndiye atakaye shinda.

Au wewe Mungu leo alikuambia atakuwa Ivory Coast na nyinyi? au una-appointment naye leo....?Unataka kumfanya Mungu kama mali yako. Fitness, maandalizi na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndio utakao aumua mechi yao.
 
Sijasema Asec sio wa Mungu.

Na kuhusu Mtindio wa Ubongo hata siumii kikubwa hua na kukaza na huuuhuu Mtindio wa Ubongo.
Ushindi kwenye mpira unahusiana vipi na Mungu? Kwamba wanaoomba sana ndio wanashinda? Hebu jiulize hayo mataifa yaliyoleta hizi dini ambayo tunaambiwa ni mataifa teule ya Mungu yamefanya nini kweny mpira? Israel, Saudi Arabia, Vatican, Palestine wamewahi chukua kombe gani?

Kabla ya kupost thread jaribuni kushirikisha akili sawasawa
 
Yaani asikilize maswala yenu ya mpira awaache huko Palestine, Congo,ashughulike na upumujia na mapigo ya moyo ya kila mtu.

Hata yy mwenye kasema ombeni mtapewa tafuteni mtapata,hapo kwenye kutafuta ndipo kuna kujishughulisha,maandalizi ya mchezaji mmoja mmoja,match fitness, training facilities. So mwenye nazo ndiye atakaye shinda.

Au wewe Mungu leo alikuambia atakuwa Ivory Coast na nyinyi? au una-appointment naye leo....?Unataka kumfanya Mungu kama mali yako. Fitness, maandalizi na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndio utakao aumua mechi yao.
Jibu swali Langu kwahio Mungu hajihusishi na Maswala ya Mpira?

Yeye ni kusikiliza shida kubwakubwa tu?
 
Ushindi kwenye mpira unahusiana vipi na Mungu? Kwamba wanaoomba sana ndio wanashinda? Hebu jiulize hayo mataifa yaliyoleta hizi dini ambayo tunaambiwa ni mataifa teule ya Mungu yamefanya nini kweny mpira? Israel, Saudi Arabia, Vatican, Palestine wamewahi chukua kombe gani?

Kabla ya kupost thread jaribuni kushirikisha akili
Asante umeonekana.

Unahisi we kuomba Mungu ni Dini nayo????

Jion Njema

Ila nikuachie hili tu Kuomba Mungu sio Dini...Nashangaaa we umesema Dini
 
Back
Top Bottom