proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Umeandika ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajihusishi na mpira wenu wa tunguli......... halafu tokea lini timu yako ikawa inamtanguliza Mungu?Jibu swali Langu kwahio Mungu hajihusishi na Maswala ya Mpira?
Yeye ni kusikiliza shida kubwakubwa tu?
Mungu hana upendeleo cheza mpiraBila Mungu Mwanadamu hutaweza lolote, kama utaamini Mpira una shinda bila Mungu eti Juhudi tu na kupamban basi Mungu hayupo.
Umejibu Ujinga na weweUmeandika ujinga
Usikate Tamaa na usiikatie Tamaa.Simba na shangilia ila nimeikatia tamaa
Kitu ambacho hujui Mimi hata hio simba sio Team yangu fatilia nyuzi zangu hapa nyingi Jukwaani kama ushaona hua naisemea Simba kwenye ligi.Hajihusishi na mpira wenu wa tunguli......... halafu tokea lini timu yako ikawa inamtanguliza Mungu?
Juzi mmepigwa faini na TFF.
Mimi sijakuuliza timu gani acha kujishtukia,halafu hata ukiwa mshabiki wa 5imba ni sawa tu unatumia uhuru wako wa kuchagua.Kitu ambacho hujui Mimi hata hio simba sio Team yangu fatilia nyuzi zangu hapa nyingi Jukwaani kama ushaona hua naisemea Simba kwenye ligi.
Ila Mi nimesema kwa wigo wa uhalisia Mungu hasikilizi Dua Mbovu..Hata kama Mimi sio Shabiki wa Simba ila siwez kuombea Simba wafungwe Maana Mungu hasikiliizi hizo Dua.
Mimi sijakuuliza timu gani acha kujishtukia,halafu hata ukiwa mshabiki wa 5imba ni sawa tu unatumia uhuru wako wa kuchagua.
Sasa hao unataka waombewe juzi wamepigwa faini ushajiuliza faini ya nini?
Hata CAF nayo ilikuwa hivyo hivyo au umesahau faini ya USD 5000?
Mungu ana mambo mengi hao kuna nguvu wanazo zitegemea ndio maana kila siku wanapigwa faini.
Kwani wewe ulizaliwa baada ya mwanaume kushika mimba?Una matatizo sana we ulivyosema Team yangu uli refer Nini??
Jamaa na mashaka kama ulizaliwa na Mwanmke kweliii!!
Kasome Reply yako Yosefu uliyosema Team yangu ulikua unamaanisha??
Ukishindwa kuniambia Utakua U.........
Acha tu iwe dhambiUsikate Tamaa na usiikatie Tamaa.
Kukata Tamaa kwa namna yeyote ni Dhambi.
Sawa Endelea kukata TamaaAcha tu iwe dhambi
Kwa hiyo Mayele ni muongo?Mpira hauna maombi wala dua ni uwezo na kujituma
Unataka nijibu nini?Kwa hiyo Mayele ni muongo?