Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

Hajihusishi na mpira wenu wa tunguli......... halafu tokea lini timu yako ikawa inamtanguliza Mungu?

Juzi mmepigwa faini na TFF.
Kitu ambacho hujui Mimi hata hio simba sio Team yangu fatilia nyuzi zangu hapa nyingi Jukwaani kama ushaona hua naisemea Simba kwenye ligi.

Ila Mi nimesema kwa wigo wa uhalisia Mungu hasikilizi Dua Mbovu..Hata kama Mimi sio Shabiki wa Simba ila siwez kuombea Simba wafungwe Maana Mungu hasikiliizi hizo Dua.
 
Mimi sijakuuliza timu gani acha kujishtukia,halafu hata ukiwa mshabiki wa 5imba ni sawa tu unatumia uhuru wako wa kuchagua.

Sasa hao unataka waombewe juzi wamepigwa faini ushajiuliza faini ya nini?

Hata CAF nayo ilikuwa hivyo hivyo au umesahau faini ya USD 5000?

Mungu ana mambo mengi hao kuna nguvu wanazo zitegemea ndio maana kila siku wanapigwa faini.
 
Una matatizo sana we ulivyosema Team yangu uli refer Nini??

Jamaa na mashaka kama ulizaliwa na Mwanmke kweliii!!

Kasome Reply yako Yosefu uliyosema Team yangu ulikua unamaanisha??
Ukishindwa kuniambia Utakua U.........
 
Kwani wewe ulizaliwa baada ya mwanaume kushika mimba?
 
MUNGU NIMJUAE NA KUMUAMIN MIMI KAFANYA KILE ALICHONIONYESHA NA NIKAKISEMA HAPA
 
Back
Top Bottom