THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Unavyolua unasema Simba au Yanga ishinde hayo hua ni Nini?Mpira hauna maombi wala dua ni uwezo na kujituma
Mungu hachagui cha kushugulika nacho kila kitu ni cha MunguAcha Mungu ashughulikie vurugu za Congo, hao wengine lolote liwakute tu
Basi pelekeni kikundi cha maombi kishinde kombeUnavyolua unasema Simba au Yanga ishinde hayo hua ni Nini?
Uzee wako unautumia vibaya sanaMungu saidia Asec Mimosas washinde. Wote tuseme amina[emoji120][emoji120]
Kwaio kumbe hata Asec ni wa Mungu, km ni hivyo basi simba wafungwe tuMungu hachagui cha kushugulika nacho kila kitu ni cha Mungu
Bila Mungu Mwanadamu hutaweza lolote, kama utaamini Mpira una shinda bila Mungu eti Juhudi tu na kupamban basi Mungu hayupo.Basi pelekeni kikundi cha maombi kishinde kombe
Mungu ana mambo mengi sana ya kufanya,pili quality ndiyo itakayo amua.Jiulize quality yako na Asec ni sawa,fitness yako na timu iliyo sheheni vijana wadogo ambayo avarage yao 19-24 mpo sawa,halafu hawa Asec wachezaji wao wengi wanapitia kwenye mifumo maalumu,ndio maana waeshauza wachezaji wengi na waliofanikiwa ulaya.Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi.
Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi.
Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
View attachment 2913288View attachment 2913289
Asante Babu Maombi yako atayafanyia kazi ukiona kimya ujue hayajajibiwa na utajua kua hata wanaokuombea vibaya hua hayajibiwi.Kwaio kumbe hata Asec ni wa Mungu, km ni hivyo basi simba wafungwe tu
Mungu ana mambo mengi??Mungu ana mambo mengi sana,pili quality ndiyo itakayo amua.Jiulize quality yako na Asec ni sawa,fitness yako na timu iliyo sheheni vijana wadogo ambayo avarage yao 19-24 mpo sawa.
Halafu Yanga na Simba hazijawahi kuombeana,zaidi ya unafiki mbele za watu ila mioyoni wanataka mpinzani wae apigwe amcheke.
Una mtindio wa ubongo? Hoja yako ni nini hasa? Hao Asec sio wa Mungu? Mbona unataka kujimilikisha uyo unayemuita Mungu? Kwamba Asec wasiombewe washinde? Au Mungu anawapenda sana Simba?Uzee wako unautumia vibaya sana
Sijasema Asec sio wa Mungu.Una mtindio wa ubongo? Hoja yako ni nini hasa? Hao Asec sio wa Mungu? Mbona una unataka kujimilikisha uyo unayemuita Mungu? Kwamba Asec wasiombewe washinde? Au Mungu anawapenda sana Simba?
Yaani asikilize maswala yenu ya mpira awaache huko Palestine, Congo,ashughulike na upumujia na mapigo ya moyo ya kila mtu.Mungu ana mambo mengi??
Una mawasiliano nae.Yani unadhani Mungu ni kama Mchepuko wako anaekwambia Leo amebanwa na kazi hawez tokea.
Ushindi kwenye mpira unahusiana vipi na Mungu? Kwamba wanaoomba sana ndio wanashinda? Hebu jiulize hayo mataifa yaliyoleta hizi dini ambayo tunaambiwa ni mataifa teule ya Mungu yamefanya nini kweny mpira? Israel, Saudi Arabia, Vatican, Palestine wamewahi chukua kombe gani?Sijasema Asec sio wa Mungu.
Na kuhusu Mtindio wa Ubongo hata siumii kikubwa hua na kukaza na huuuhuu Mtindio wa Ubongo.
Jibu swali Langu kwahio Mungu hajihusishi na Maswala ya Mpira?Yaani asikilize maswala yenu ya mpira awaache huko Palestine, Congo,ashughulike na upumujia na mapigo ya moyo ya kila mtu.
Hata yy mwenye kasema ombeni mtapewa tafuteni mtapata,hapo kwenye kutafuta ndipo kuna kujishughulisha,maandalizi ya mchezaji mmoja mmoja,match fitness, training facilities. So mwenye nazo ndiye atakaye shinda.
Au wewe Mungu leo alikuambia atakuwa Ivory Coast na nyinyi? au una-appointment naye leo....?Unataka kumfanya Mungu kama mali yako. Fitness, maandalizi na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndio utakao aumua mechi yao.
Asante umeonekana.Ushindi kwenye mpira unahusiana vipi na Mungu? Kwamba wanaoomba sana ndio wanashinda? Hebu jiulize hayo mataifa yaliyoleta hizi dini ambayo tunaambiwa ni mataifa teule ya Mungu yamefanya nini kweny mpira? Israel, Saudi Arabia, Vatican, Palestine wamewahi chukua kombe gani?
Kabla ya kupost thread jaribuni kushirikisha akili