Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ushapigwa na kitu kizito [emoji28][emoji28][emoji28]
Sa itakuaje
Msitelekeze damu zenyu kwa visingizio vya kijinga jifunzeni kwa waliyowakuta na ikibidi mkawaombe ushauriHabari!
Kama kichwa kinavyosema.
Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe.
Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila mnapofanya hiyo ni biashara.
Mapenzi sio kandambili kwamba zinaumia zenyewe tu kila uchwao.
Ikiingia mimba hayo ni matokeo ya biashara, mmoja akiambukizwa gono au VVU atulie tuli asimlaumu mwenzake.
MImba ni ya yule ambayo iko tumboni mwake .
BIashara haina neno kuachana. Mmoja akiona haina maslahi kwake anapotea na hapaswi kulaumiwa na mwingine.
Huyu Waziri Mkuu wa Uganda amepiga kunako .... natamani nihamie Uganda kukwepa mizinga ya wanawake wa Kitanzania ...[emoji23]Sa itakuaje
Nahamia UG π
Huyu Waziri Mkuu wa Uganda amepiga kunako .... natamani nihamie Uganda kukwepa mizinga ya wanawake wa Kitanzania ...[emoji23]Sa itakuaje
ππππ uzuri kuna muda mnatoaga wenyewe bila kuombwaHuyu Waziri Mkuu wa Uganda amepiga kunako .... natamani nihamie Uganda kukwepa mizinga ya wanawake wa Kitanzania ...[emoji23]
Na ukimlipa huyo sio mpenzi wakoππππ uzuri kuna muda mnatoaga wenyewe bila kuombwa
Upwiru sio jambo zuri
Sasa Mtu akinuna ghafla unafikiri mbinu gani ya kumrudisha siku nyingine?[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uzuri kuna muda mnatoaga wenyewe bila kuombwa
Upwiru sio jambo zuri
Hapa ndio penye shida sasa hasa ukifinyiwa kwa ndani[emoji39][emoji1787][emoji1544][emoji1550][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uzuri kuna muda mnatoaga wenyewe bila kuombwa
Upwiru sio jambo zuri
πππππSasa Mtu akinuna ghafla unafikiri mbinu gani ya kumrudisha siku nyingine?[emoji16]
Imagine upewe yote, ufinyiwe kwa ndani alafu usitoe helaππππnyieeeHapa ndio penye shida sasa hasa ukifinyiwa kwa ndani[emoji39][emoji1787][emoji1544][emoji1550]
Ko mpenzi ndo ππππwa kutoa bure πNa ukimlipa huyo sio mpenzi wako
Hapo mwishoni ndo mwanzo wa kufilisika kwa walletHapa ndio penye shida sasa hasa ukifinyiwa kwa ndani[emoji39][emoji1787][emoji1544][emoji1550]