Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Kama kichwa kinavyosema.
Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe.
Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila mnapofanya hiyo ni biashara.
Mapenzi sio kandambili kwamba zinaumia zenyewe tu kila uchwao.
Ikiingia mimba hayo ni matokeo ya biashara, mmoja akiambukizwa gono au VVU atulie tuli asimlaumu mwenzake.
MImba ni ya yule ambayo iko tumboni mwake .
BIashara haina neno kuachana. Mmoja akiona haina maslahi kwake anapotea na hapaswi kulaumiwa na mwingine.