Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane πŸ–€πŸ’”

Mwanamke wa kibongo mapenzi kwake ni umenipa nini? Kama unanipenda. yaani wewe ndo unakua ATM yake, bima yake nk. Wajinga sanaa wana fikira za kimasikini.
Pole kwa kazi mkuuπŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜ƒ
 
Pole ya nini mkuu mimi sija oa mbongo wezi hao kila akiongea maneno matano matatu yanaomba pesa au msaada kwako.
Nimesema pole kwa majukumuπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜ƒπŸ˜†.
Sijasema pole kwa kuoaπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜¬πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…