Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Mwanamke wa kibongo mapenzi kwake ni umenipa nini? Kama unanipenda. yaani wewe ndo unakua ATM yake, bima yake nk. Wajinga sanaa wana fikira za kimasikini.
Pole kwa kazi mkuu😆😂😂😬😃
 
Pole ya nini mkuu mimi sija oa mbongo wezi hao kila akiongea maneno matano matatu yanaomba pesa au msaada kwako.
Nimesema pole kwa majukumu🤣😂😬😃😆.
Sijasema pole kwa kuoa😆😃😬😂🤣
 
Back
Top Bottom