Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .

Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho.

😍😍😍
 
Mie asirudishe fadhira as long as anaifinyia Kwa ndani ,,, ntamkabidhi Hadi Indian ocean kabisa aimiliki
 
Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .

Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho.

Sasa nipoozaje roho nahuku upo mbali, angalau ungekuwa karibu.
 
Back
Top Bottom