Mapenzi hapana kwakwel....tunapendana tu lakini kuna wengine utoto bado unawasumbua.
Mimi bwana nilikuwa na girl asie eleweka na screenshot niliwekaga na nikawa nadate na rafiki ake (main na bestie) siku Ile dada
Depal akasa bora jimgepambana kumbadilisha main kuliko kuharibu urafiki na bestie (Shem)
Basi nikapuuzia, nikazama na Shem maana alionesha all true things....
Bwana kumbe mjinga tu anakijamaa chake nae kilicho mtoa usichana etc...
basi last month sikumpa monthly allowance lakini nilimpa simu iPhone 8 na 30k ya vocha...
Ghafla siku hiyohiyo hajibu, kesho yake hajibu alafu kuna siku napokea kisms toka kwa jamaa ake eti nimuache girl wake hahaha....nikaona huyu ananichezea kisa ananiona mpole....basi nikadaka pot mshkaj wangu nikatimba kwa girl kwao nikachukua simu
Ajabu toka hiyo siku niliyochukua simu ameanza nisumbua tena mjinga huyu
Bad enough nilikuwa nakahudumia poa maana kila tarehe 28 natoa laki 1 ya matumizi ya vocha na vichips maana anakaa kwao bado...
Yupo anasumbua but nimemkatia line jumla.