Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
1,889
Reaction score
3,059
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.

Hiko hivi kuna huyo Kijana tumefahamiana ni kama mwezi wa 3 sasa mcheshi yuko Normal tu.. kitu kinachonikera kwake yaani anapenda sana kulazimisha kunitoa out yaani nikikataa ni kama hapendi anajisikia vibaya

Sasa mimi huwa sipendi kutoka bila kuwa na hela yangu lolote linaweza kutokea.. lakini Hii inaboa imagine unakaa chanika halafu out mkaonane masaki.. unatoka na gharama zako unasema basi ka mtu katajiongeza hata Elfu 5 ya nauli kwasababu umeharibu ratiba na bajeti yako lakini mkavu kama nini[emoji35]

Kinachonikasirisha zaidi anaagiza mavyakula ya bei yaani mkitoka hapo menu inasoma 50k nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa

Acheni ubahiri nyie wanaume[emoji41]
 
W

Wewe ndio huna akili.
Unaogopa nini kumchana kuwa mkale sehemu rahisi?
Huoni kuwa hako ka Ben Tena Kako masikini tu kanajitutumua?
 
Mwambie mchane kama vip akutafutie mishe sio umuombe hela
 
Amekutoa out umekula na kunywa Kwa gharama zake, obviously ungekaa kwako lazima ungekuwa na ratiba ya kupika iwe ni lunch ama dinner

Hiyo bajeti ya kupika kwako si ndiyo ungeitumia kufanya nauli Mjukuu?

Huoni amekupunguzia gharama Kwa kuku-toa out
 
Ni kweli but sio mara zote wakati mwingine chakula kipo
Hiyo nauli angeniongezea tu
 
W

Wewe ndio huna akili.
Unaogopa nini kumchana kuwa mkale sehemu rahisi?
Huoni kuwa hako ka Ben Tena Kako masikini tu kanajitutumua?
Halafu anakaa nyumba ya 15k kwa mwezi huu ni upumbavu
 
Ka Ben Ten kangu siwezi kukapangia namna ya kutumia pesa zake.. kwasababu mimi sio mwanamke wake wala sijui pesa zake anapataje mpk ajitutumue
Mbona unakubaki kula chakula cha 50k?
 
Pole sana mmama usipende outing za mara Kwa mara ,
Pia mtu akisema anakutoa out,hakikisha na wewe Una pesa
 
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.

Hiko hivi kuna huyo Kijana tumefahamiana ni kama mwezi wa 3 sasa mcheshi yuko Normal tu.. kitu kinachonikera kwake yaani anapenda sana kulazimisha kunitoa out yaani nikikataa ni kama hapendi anajisikia vibaya

Sasa mimi huwa sipendi kutoka bila kuwa na hela yangu lolote linaweza kutokea.. lakini Hii inaboa imagine unakaa chanika halafu out mkaonane masaki.. unatoka na gharama zako unasema basi ka mtu katajiongeza hata Elfu 5 ya nauli kwasababu umeharibu ratiba na bajeti yako lakini mkavu kama nini[emoji35]

Kinachonikasirisha zaidi anaagiza mavyakula ya bei yaani mkitoka hapo menu inasoma 50k nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa

Acheni ubahiri nyie wanaume[emoji41]
Mpaka hapo mnaendana kabisa ni swala la kumwambia mwenzio atakuelewa mbona ayo mambo yanazungumzika kabisa👋🚶
 
Back
Top Bottom