Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

Unakaa chanika na out ziko masaki bill 50k na analipa hauoni hata aibu kudai nauli? Ili akuone wa maana clear bill hata siku moja , yaani ubongo wako umejaa makamasi kabisa haifai Una akili za kifukara

Kwani mimi ndio niliomba out?? Yaani ni clear bill mimi ndio nilichagua hiyo sehemu kama angeniuliza nataka twende wapi ningemwambia twende mwananyamara tukale Zanzibar pizza tamu kuliko za masaki
 
Kwani mimi ndio niliomba out?? Yaani ni clear bill mimi ndio nilichagua hiyo sehemu kama angeniuliza nataka twende wapi ningemwambia twende mwananyamara tukale Zanzibar pizza tamu kuliko za masaki
Nakupa mfano my gal Yuko humu humu anawaza tununue private jet tukikosa Sana helcopter ananipa Moto akili inachemka nipate vipi pesa hasa wewe wa chanika unalaumu nauli hauoni unajiaibisha , jamaa anajua ana mtu mwenye akili wstafika mbali kumbe ni boksi tupu, tena akigundua akili yako iko hivi hutomuona tena
 
Wadada wa chanika mna shida sana, nishawahi kuwa na mahusiano na mdada flani anakaa chanika ni mwendo wa lawama tuu.
Au ndo wewe nn?

Mimi sikai chanika nimetolea mfano tu kwa kuangalia umbali
 
Nakupa mfano my gal Yuko humu humu anawaza tununue private jet tukikosa Sana helcopter ananipa Moto akili inachemka nipate vipi pesa hasa wewe wa chanika unalaumu nauli hauoni unajiaibisha , jamaa anajua ana mtu mwenye akili wstafika mbali kumbe ni boksi tupu, tena akigundua akili yako iko hivi hutomuona tena

Kwani kuna sehemu nimesema ni mtu wangu… hatuna mahusiano so siwezi kushauri chochote
 
Mwanamke aina yako kama Mimi hata siku mbili hatumalizi
 
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.

Hiko hivi kuna huyo Kijana tumefahamiana ni kama mwezi wa 3 sasa mcheshi yuko Normal tu.. kitu kinachonikera kwake yaani anapenda sana kulazimisha kunitoa out yaani nikikataa ni kama hapendi anajisikia vibaya

Sasa mimi huwa sipendi kutoka bila kuwa na hela yangu lolote linaweza kutokea.. lakini Hii inaboa imagine unakaa chanika halafu out mkaonane masaki.. unatoka na gharama zako unasema basi ka mtu katajiongeza hata Elfu 5 ya nauli kwasababu umeharibu ratiba na bajeti yako lakini mkavu kama nini[emoji35]

Kinachonikasirisha zaidi anaagiza mavyakula ya bei yaani mkitoka hapo menu inasoma 50k nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa

Acheni ubahiri nyie wanaume[emoji41]
vipi mzigo umempa?
 
Ka Ben Ten kangu siwezi kukapangia namna ya kutumia pesa zake.. kwasababu mimi sio mwanamke wake wala sijui pesa zake anapataje mpk ajitutumue
Endelea kuteseka na vinauli vyako vya Chanika😀
 
Back
Top Bottom