Kama unamtoto wa kiume hadi leo anaishi kwako na hataki kuoa fukuza akajenge mjini wake

Kama unamtoto wa kiume hadi leo anaishi kwako na hataki kuoa fukuza akajenge mjini wake

Mafyangula

Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
75
Reaction score
100
Kuna wazazi wanawalea watoto wao wa kiume kimayai sana! Yani mpaka leo anakaa naye nyumbani.

Na kijana anakazi yake inamlipa fureshi, sasa cha kushangaza kijana wa kiume hata kuoa hataki.

Hana maana huyo, wewe kama baba mfukuze nyumbani kwako, naye akajenge mjini wake.
 
We utaolewa tu endelea kuwa na subra kijana ajipange
 
Mji umemnunulia?
Maana sidhani kama huyo mtoto alitaka kuzaliwa! Ni wewe na mambo yako
 
Aisee mzee labda kama amejipata akiwa bado hiyo ni dhambi sana
 
Back
Top Bottom