Lucky01
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 214
- 174
Hard work paysWith time and hard work unaweza kuzungumzia mamilioni kwenye kilimo na ajira binafsi na si katika hii mishahara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hard work paysWith time and hard work unaweza kuzungumzia mamilioni kwenye kilimo na ajira binafsi na si katika hii mishahara!
Nimependa hapo mwishoniSo, kama mwanzisha uzi alivyosisitiza tena kwa mifano mizuri, nadhani ndugu zanguni tusiogope kupoteza maana ni shemeu ya kujifunza na hakuna short cut kwenye hilo.
Cha msingi weka mikakati tu ya namna utaanzaje biashara yako na mteja wako ni wa aina gani, usipoteze muda kwa kudeal na kundi ambalo haliendani na bidhaa yako maana hakuna bidhaa ya kila mmoja, kila bidhaa ina watu/wateja wake.
Hongera sana Void ab initio!
[emoji13]Hiii ya lendrmak hotel kuwa hostel ndo imeniacha hoi kabsa
Mkuu umenikumbusha ule wimbo...yaani vanessa mdee ananiuaga kabisa kila nikiskia 'baki na hamu zako' lazma nidindishe
Utasikia wanatafuta biashara inayolipa..sijui ni biashara gani hailipi?mi nawachukiaga sana watu wanaotaka mawazo ya biashara na wanaogopa hasara
Biashara gani mkuu?Nimekuelewa vizuri. Mimi ni kati ya watu ambao wamekiga hatua fulani katika maisha ya business lakini niliwahi kupata hasara ya milioni 12 kwa mara ya kwanza na ndo ulikuwa mtaji wangu wote ila sikukata tamaa wala kuwa frustrated I calmed down nikatafuta tena mtaji nikarudia business ile ile. Now I have stepped
Na biashara za jf zote zina faida tena kubwa kubwa!!mkuu hongera sana maana watu wa JF ndio kazi yao wanataka faida bila hasara wakati hakuna kitu kama hicho.
hakuna biashara isiyo na faida ila lazima upate hasara alafu ndio uinuke.Na biashara za jf zote zina faida tena kubwa kubwa!!
kweli kabisa mkuu,,lazima tukumbuke yule mmiliki wa KFC alivyofeli sana kila akiazisha biashara lakn mwishoni akajafanikiwa na kuwa na hotel nying sana dunian za KFChakuna biashara isiyo na faida ila lazima upate hasara alafu ndio uinuke.
Mawazo mazuri sana,tuyafanyie kazi ili tujikwamue kiuchumi...binafsi yamenipa faraja kwasababu hiyo safari niliianza tangu mwaka jana, namshukuru Allah ( S.W ) nimesahau kusubiri mshahara wa mwisho wa mwezi.