Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

Bora hata ya Mimi ninayezipeleka bar [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuelewa vizuri.

Mimi ni kati ya watu ambao wamekiga hatua fulani katika maisha ya business lakini niliwahi kupata hasara ya milioni 12 kwa mara ya kwanza na ndo ulikuwa mtaji wangu wote ila sikukata tamaa wala kuwa frustrated I calmed down nikatafuta tena mtaji nikarudia business ile ile.

Now I have stepped
 
So, kama mwanzisha uzi alivyosisitiza tena kwa mifano mizuri, nadhani ndugu zanguni tusiogope kupoteza maana ni shemeu ya kujifunza na hakuna short cut kwenye hilo.

Cha msingi weka mikakati tu ya namna utaanzaje biashara yako na mteja wako ni wa aina gani, usipoteze muda kwa kudeal na kundi ambalo haliendani na bidhaa yako maana hakuna bidhaa ya kila mmoja, kila bidhaa ina watu/wateja wake.

Hongera sana Void ab initio!
Nimependa hapo mwishoni

Usipoteze muda kwa kundi ambalo haliendani na bidhaa yako
 
Nimekuelewa vizuri. Mimi ni kati ya watu ambao wamekiga hatua fulani katika maisha ya business lakini niliwahi kupata hasara ya milioni 12 kwa mara ya kwanza na ndo ulikuwa mtaji wangu wote ila sikukata tamaa wala kuwa frustrated I calmed down nikatafuta tena mtaji nikarudia business ile ile. Now I have stepped
Biashara gani mkuu?
 
hakuna biashara isiyo na faida ila lazima upate hasara alafu ndio uinuke.
kweli kabisa mkuu,,lazima tukumbuke yule mmiliki wa KFC alivyofeli sana kila akiazisha biashara lakn mwishoni akajafanikiwa na kuwa na hotel nying sana dunian za KFC
Mawazo mazuri sana,tuyafanyie kazi ili tujikwamue kiuchumi...binafsi yamenipa faraja kwasababu hiyo safari niliianza tangu mwaka jana, namshukuru Allah ( S.W ) nimesahau kusubiri mshahara wa mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom