Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Yaan kitoto sana mwee ๐ฅHaya mambo ya Facebook mkuu
Joined 2024 huyu ๐๐Yaan kitoto sana mwee ๐ฅ
Kujoin 2024 si tatizo...tatizo alichokiwasilisha kimemtoa relini๐Joined 2024 huyu ๐๐
Asante Mungu ๐.....Kwa pumzi ya leo hakika haikuwa rahisiComment "Asante Mungu"
Kazingua sana aisee ๐Kujoin 2024 si tatizo...tatizo alichokiwasilisha kimemtoa relini๐
Hii ni changamoto kwa kweliKazingua sana aisee ๐
Mambo ya Facebook anayaleta kwenye forumsHii ni changamoto kwa kweli
Kukurupuka,ngoja wakongwe tumpopoe mpaka aipate njia sahihi ๐คMambo ya Facebook anayaleta kwenye forums
Kumpenda Mungu kunaonyeshwa kwa matendo unayofanya na siyo maneno unayosema au kuandika. Tanzania ukisikia watu wanavyotaja jina la Mungu na ku-like mambo yanayohusu Mungu utadhani ukija utaingia nchi ambayo ina raia wamefanana na malaika. Kumbe dhambi zote ndiyo zainazaliwa hapa.Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"