KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka.
Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi kuona mashabiki zake wanavyoishiwa pozi kwa kutoa maneno makali juu ya viongozi wa Timu zao.
Nimekuwa nikileta THREADS za kuiponda SIMBA kila inapokaribia mechi zake either za kimataifa au za NBC PREMIER LEAGUE ila kwa bahati mbaya wamekuwa wakipeta tu. Sasa tangu juzi ilinibidi nikae kmya kwenye mitandao yote na kufanya maombi kimya kmya bila kumtangazia mtu.Naleta kwenu ushuhuda kuwa MWANAKONDOO AMESHINDA TUMFUATE🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kama huipendi timu yeyote achana na kuinanga mitandaoni hutaambulia kitu,kaa kmya pambana kmyakmya utaona utakavyopata raha.
Mashabiki wanafarijiana ety wametoka KIUME🤣🤣🤣🤣🤣nawauliza kuna ligi wataendelea nayo ya CAF ya WANAUME msimu huu?hawana majibu na ndo furaha yangu dadekii.
Mrudi bongo japo sijui mnakuja kupambania kombe gani🤣🤣🤣.Ndugu zangu mpira ni UWEKEZAJI na siyo kutegemea PAKA.
All in all Yanga tuna la kujifunza kutoka kwa MAKOLO