Kama unapenda timu usiyoipenda isishinde mechi fanya hivi...

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka.

Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi kuona mashabiki zake wanavyoishiwa pozi kwa kutoa maneno makali juu ya viongozi wa Timu zao.

Nimekuwa nikileta THREADS za kuiponda SIMBA kila inapokaribia mechi zake either za kimataifa au za NBC PREMIER LEAGUE ila kwa bahati mbaya wamekuwa wakipeta tu. Sasa tangu juzi ilinibidi nikae kmya kwenye mitandao yote na kufanya maombi kimya kmya bila kumtangazia mtu.Naleta kwenu ushuhuda kuwa MWANAKONDOO AMESHINDA TUMFUATE🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Kama huipendi timu yeyote achana na kuinanga mitandaoni hutaambulia kitu,kaa kmya pambana kmyakmya utaona utakavyopata raha.

Mashabiki wanafarijiana ety wametoka KIUME🤣🤣🤣🤣🤣nawauliza kuna ligi wataendelea nayo ya CAF ya WANAUME msimu huu?hawana majibu na ndo furaha yangu dadekii.

Mrudi bongo japo sijui mnakuja kupambania kombe gani🤣🤣🤣.Ndugu zangu mpira ni UWEKEZAJI na siyo kutegemea PAKA.

All in all Yanga tuna la kujifunza kutoka kwa MAKOLO
 
Kwa akili yako hiyo hiyo iliyopo kati ya Simba aliyeishia quarter final na utopolo(bingwa NBC) yupi ana msimu mzuri?
 
Mafanikio ni kubeba makombe ya ligi unayoshiriki. Ndio matarajio ya timu zote. Simbwa kuishia robo fainali si chochote kama haujalibeba kombe. Ni sawa na timu inashiriki ligi iishie nafasi ya 7 kwenye msimamo alafu ianze kutamba eti imepata mafanikio. Huo ni ujuha
 
Kama ishu ni kombe tu mbona Simba analo la Mapinduzi. Kama kombe la mapinduzi unalidharau kipi kinakufanya uone ni bora kuchukua kombe la ligi kuu kuliko alieshia robo fainal CAF?
 
Mafanikio ni kubeba makombe ya ligi unayoshiriki. Ndio matarajio ya timu zote. Simbwa kuishia robo fainali si chochote kama haujalibeba kombe. Ni sawa na timu inashiriki ligi iishie nafasi ya 7 kwenye msimamo alafu ianze kutamba eti imepata mafanikio. Huo ni ujuha
Ni kweli mafanikio ni kubeba kombe uko sahihi ,huu msimu Simba mpaka sasa analo kombe moja la mapinduzi.

Turudi kwenye thaman ya makombe Sasa.
Ligi kuu uwezekano wa kubeba kombe upo kwa yanga na Hilo kombe thamani ni 500m.
Simba anaweza maliza nafas ya pili thamani 250m.

Simba katolewa robo fainal shirikisho na kitita cha 800m si haba.

Sasa kwa akil yako kwa huu msimu nan atakua na mafanikio juu ya mwenzie hasa kipesa? Jibu ni rahis Simba atakusanya mkwanja mwingi kuliko timu yoyote ya ligi kuu ,hapo huwez sema mtu amepoteza vibaya km shida ni kikombe tu na mwonekano huu msimu anacho kikombe ,acha niishie hapa.
 
Kila taasisi ina malengo yake nmekuuliza malengo ya Simba msimu huu ni yapi?
Taasisi kutajwa imefanikiwa haingaliwi malengo taasisi iliyojiwekea bali ime achieve nini kuzidi taasisi zingine. Unaweza usifikie malengo yako lakini ukawa umefanikiwa kuliko aliyetimiza malengo yake.
 
Naona ume amua kuzunguka zunguka basi sawa
 
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka.

Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi kuona mashabiki zake wanavyoishiwa pozi kwa kutoa maneno makali juu ya viongozi wa Timu zao.

Nimekuwa nikileta THREADS za kuiponda SIMBA kila inapokaribia mechi zake either za kimataifa au za NBC PREMIER LEAGUE ila kwa bahati mbaya wamekuwa wakipeta tu. Sasa tangu juzi ilinibidi nikae kmya kwenye mitandao yote na kufanya maombi kimya kmya bila kumtangazia mtu.Naleta kwenu ushuhuda kuwa MWANAKONDOO AMESHINDA TUMFUATE🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Kama huipendi timu yeyote achana na kuinanga mitandaoni hutaambulia kitu,kaa kmya pambana kmyakmya utaona utakavyopata raha.

Mashabiki wanafarijiana ety wametoka KIUME🤣🤣🤣🤣🤣nawauliza kuna ligi wataendelea nayo ya CAF ya WANAUME msimu huu?hawana majibu na ndo furaha yangu dadekii.

Mrudi bongo japo sijui mnakuja kupambania kombe gani🤣🤣🤣.Ndugu zangu mpira ni UWEKEZAJI na siyo kutegemea PAKA.
😁😁😁 Sasa mbona jana walichoma moto kikaratasi walichopewa na mganga wao! Walishindwa kusafiri na yule paka waliyemtumia kwenye mechi dhidi ya FC Platinum.
 
Mganga mpya huyo 🤣🤣🤣
 
Hesabu za hovyo sana hizi.Naamini hata ww ukikaa na kuangalia ulichoandika hutaelewa

Back
Top Bottom