Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

Mtu Alie Nyikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
1,490
Reaction score
3,482
Habari wana JF.

Siku imekucha na makucha yake.

Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.

Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na mazungumzo kupinga huu udharimu wa CCM kwa watanganyika.

Kuna kikundi kimeundwa kwa ajili ya kuthibiti hawa wapaza sauti, kuwateka, kuwatesa na Kuwaua/kuwapoteza katka hii sayari.

Unapofuatwa DM au kwenye comments na mtu anajifanya ana shida na wewe anaomba namba yako, mpe ila kwa Tahadhari ikiwezekana mkatalie kabsa, au sometimes anaweza kukupa umtafute tafadhari usiajiribu.

Saivi ndiyo mbinu zao hizo.

NB: Rejea wale vijana ya JF 2015.
 
Umefanya vyema kuwaonya lakin hao hawajaanza leo, watakuja inbox kama watu wanaotaka msaada, mahusiano, urafiki au kwa namna yoyote ile

Usitoe namba
 
Wengi wanakuja PM wakijifanya mademu waliomba urafiki usikubali hata kidogo hao ni akina Lucas Mwashambwa
Au mwingine anakuja kama anahitaji biashara n. K
Usitoe mawasiliano yako
 
Tumshukuru sana Mello kwa kuamua kutotoa details za members. Lakini wakumbushe pia wanaotukana watu bila sababu.
 
Back
Top Bottom