Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

LOVINTAH GYM

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
459
Reaction score
653
" FORREST GUMP"
Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk.
Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi kama unavyotaajia, watoto wako hawafaulu darasani kama unavyotaka nk

Fungua link hapo chini uweze kuiangalia




 
One of the best
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…