Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
😀😀😀 Unaganda kabisaKuna siku nimeingia kuoga maji ya baridi nikasikia sauti inapenya masikioni inasikika ikisema "Oga maji haya ya baridi ufe sasa hivi". Nikaahirisha ikanilazimu nikanunue heater, weeeeee!