Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

hata mimi niko huku njombe, natafuta nzi wa kupeleka shule kwa ajili ya somo la sayansi , yaani hawapatikani, baridi ni kali sana , kama kuna mtu anatoka DAR au yupo Dar, aniagizie kwenye basi la NJOMBE EXPRESS
 
Huyu atakuwa wakuja. Mkuu tunaoishi arusha hii hali ni ya kawaida msimu kama huu na kuna miaka hali ni baridi kuliko hii unayoita hali mbaya ya hewa. Pole sana kama wewe umezoea joto la Dar.
 
Mtoa mada ushawahi kufika japo hata cape town south África?usingesema Tanzania kuna baridi!!ushawahi kukutana na maximum nyuzi joto 5?
Huwa zinafika hadi negative mkuu
Mara ya kwanza naingia jozi july sina taarifa ya hali ya hewa ya kule kilichonikuta nilikuwa naweweseka tu mpaka nilipokutana na wenyeji wangu
 
Kuna ndugu yangu nilimtembelea arusha mwezi wa kwanza nikamwambia kama mwezi wa kwanza hali iko hivi basi mwezi wa sita sahau mimi kuja huku.
 
Hali ya hewa sio ya baridi kiasi cha kutahadharisha watu. Hata hivyo baridi itaongezeka kidogo mwezi huu wa 6 unaokuja.
 
Njombe mbona mbali, Makambako tu. Yani pale nadhani maadhimisho ya baridi kitaifa hufanyika pale kila mwaka. Si kwa baridi ile aisee [emoji119][emoji119] Tanzania nzima hakuna mahali kuna baridi kama Makambako na Makete

😃😃😃😃

Mimi ningekufa na umeme walahi
 
Back
Top Bottom