πππ Unaganda kabisaKuna siku nimeingia kuoga maji ya baridi nikasikia sauti inapenya masikioni inasikika ikisema "Oga maji haya ya baridi ufe sasa hivi". Nikaahirisha ikanilazimu nikanunue heater, weeeeee!
Hii baridi ni hatari sana
Wewe ushawahi fika Hawaii nyuzi joto chini ya 0?Mtoa mada ushawahi kufika japo hata cape town south Γfrica?usingesema Tanzania kuna baridi!!ushawahi kukutana na maximum nyuzi joto 5?
Kwa kiwango gani?Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Na tunaoishi Makete, Niombe,Mafinga na Busokelo tutasemaje?
Mimi wakiume mzeePole mrembo
Nilienda arusha msibani aisee hali ilikuwa sio nzuri, nililala siku tatu bila kuoga wala kuvua nguoHii miaka minne mitano baridi imepungua nafikiri mabadiliko ya tabia nchi. Lakini miaka ya nyuma ilikuwa balaa buluu
Hii app inaitwaje?View attachment 1827169 Sasa wa Tukuyu tuseme nini mkuu wakati Arusha ni 16c
Hii app inaitwaje?
Aje Njombe au MakambakoUliwahi enda Njombe Mkuu?
Ok sorry mkuu.Mimi wakiume mzee
Ile ya kusini inaharibu hadi ngozi unakuwa mweusiiiiiNa tunaoishi Makete, Niombe,Mafinga na Busokelo tutasemaje?
Aje Juni hapaMuanzisha mada utakuwa mgeni wa Arusha... Hapa bado haijakolea vizuri.
Mmeru ndio kwanza anaanza
Ametahadharisha waendao Arusha na sio Njombe .Kwa Tanzania njombe namba moja baridi