Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa.

Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress.

Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu.

Soma kitu kwa utashi wako and not from someone else.

Pia Fanya Biashara yako kwa Kupata hints from ur own sources and not from politicians.
 
Eti kilimo kinalipa unauza mali unaenda kijijini kuanza kilimo utajutia maishani yako yote, kilimo kina wenyewe.
 
Kuna wanasiasa walikuwa wanalazimisha watu walime Parachichi!
 
Back
Top Bottom