Wabongo bwana
Nenda pm(private message)akakupe miongozo muheshimiwa.
Maelezo Mengi Hakuna Cha Maana...
Huumwi wewe na hujui adha ya hivi vitu ,wanaojua wanaoelewa Cha kufanyaWabongo bwana
Wagonjwa washapata soln
Maelezo Mengi Hakuna Cha Maana...
Wape watu hapa mkuuhizo ni fangasi mkuu na dawa yake inafahamika ipo ya kupaka na kumeza na matibabu yake ni mwezi mzima..'''
Kwahiyo unawashaurije?Ukishaitwa pm kupewa maelekezo pekeako ndio mwanzo wakupigwa(njoo pm nikutajie jina,nikutajie matumizi,nikutajie bei,nikuekeze)
Safi sana,tube zipo nyingiDawa yake ni epderm (tube ya kupaka)mimi ni muhanga wa vipele ivyo kwa 6yrs mbaka pale nilipoelekezwa na msamalia mwema
Achne Vulgaris NuchaeMimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana.
Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona.
Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa .
Dawa hii inapatikana popote pale unachohitaji tu ni kuzingatia namna ya kuchanganya pamoja na namna ya kupaka kwenye hiyo sehemu iliyopata madhara.
Dawa utainunua hapo ulipo kwa 2k,kwa kukutajia jina la dawa na kukuelekeza namna ya kutumia utanipa chochote kile.
Njoo pm kama unahitaji
Naomba kuwasilisha🙏View attachment 3649966View attachment 3649967
Nenda pm(private message)akakupe miongozo muheshimiwa.