Kama unaswali kuhusu pombe niulize?

Kama unaswali kuhusu pombe niulize?

Disulfiram inapatikana kirahisi maduka ya madawa kama inavyopatikana kirahisi diazepam? Je kuna sehem special anaweza patiwa hii huduma mpaka akaacha kabisa?
Hapana, hizi mpaka sehemu special. Rehab, clinic. Tz sidhani kama tunazo.
 
Dawa ya kuzuia madhara ya kuacha pombe ni kama valium(Diazepam). Hii hufanya kazi kama pombe hivyo mtu huepuka witdrawal syndrome. Dawa za kusaidia kuacha ni kama disulfiram. Hii mtu akitumia inakuwa kama yamini, akigusa pombe anapata madhara yatayomfanya asitamani kabisa pombe.

Lakini madhara yatokanayo na kuacha pombe huwakuta wanywaji masugu tu.
madhara kama yapi
 
Dawa za kuzuia madhara ya kuacha pombe ni zipi hizo? Na dawa za kuacha pombe ni zipi? Naomba uende deep nahitaji kufahamu zaid
dawa ya kuacha pombe ni hiari yako mwenyewe
.
 
Dawa ya kuzuia madhara ya kuacha pombe ni kama valium(Diazepam). Hii hufanya kazi kama pombe hivyo mtu huepuka witdrawal syndrome. Dawa za kusaidia kuacha ni kama disulfiram. Hii mtu akitumia inakuwa kama yamini, akigusa pombe anapata madhara yatayomfanya asitamani kabisa pombe.

Lakini madhara yatokanayo na kuacha pombe huwakuta wanywaji masugu tu.
Mkuu, kama mtu bado hajaanza matumizi ya pombe, anaweza kutumia hizo dawa kama tahadhari ili asije igusa kamwe? Maake nina bebe wangu anapiga k vant sio poa, kila siku ananishawishi nizitwange ili nashindwa, najiuliza nikilewa itakuwaje? Kama tu sijalewa, nikipata vibe la muziki tu nakuwa excited! Nisije kutengenezea moyo aibu [emoji23][emoji23]
 
kuna jamaa alikuwa hanywi sasa ikatokea akanywa.
Nyuma kdg, jamaa tukikaa nae tunapenda kuongea story za hip hop music tu na hamna cha alikiba wala jux.

Haya bwna tulikuwa tuna gonga kvant yeye akasema nikali anataka valu, tukamletea ndogo mbili akaanza kunywa.
Ghafla nashaanga jamaa anaanza ku mind anataka na yeye aweke mziki, basi tukamuachia. Aisee alianza kuimba sugar sukari balaa hahahahah anamsifia zuchu sio pouwa. Tukajua hapa hisia zinatawala
 
Hapana, hizi si kwa ambaye hajaanza kunywa. Lakini unaweza kunywa kiasi bila shida. Ila siyo hizo Kvant.
 
kuna jamaa alikuwa hanywi sasa ikatokea akanywa.
Nyuma kdg, jamaa tukikaa nae tunapenda kuongea story za hip hop music tu na hamna cha alikiba wala jux.

Haya bwna tulikuwa tuna gonga kvant yeye akasema nikali anataka valu, tukamletea ndogo mbili akaanza kunywa.
Ghafla nashaanga jamaa anaanza ku mind anataka na yeye aweke mziki, basi tukamuachia. Aisee alianza kuimba sugar sukari balaa hahahahah anamsifia zuchu sio pouwa. Tukajua hapa hisia zinatawala
Kuna theory inasema mtu anaonyesha tabia yake halisi akiwa amelewa. In vino veritas.
 
k vant nimeichukia bada ya kuingia fake yake
Pombe nyingi kali huwa zinafake nyingi sana. Hasa za kutoka nje. Wanachofanya, wanachukua ethanol wanachanganya na Methanol. Sababu methanol ni bei rahisi. Lakini hii methanol ni hatari sana. Ukisikia watu wamepofuka kwa chang'aa ni sababu ya hiyo methanol. Hizo pombe kali za kutoka nje unaona watu wanaringishia kuna fake nyingi sana.
 
kweli mkuu na kama sio mnywaji wa mara kwa mara huwezi jua. hao jamaa sio,
kuna pombe ilifungiwa nilikuwa nikinyw naona ukungu mbele.

kuna valu pia niligonga sip ya kwnz nikajua hii sio nikajikaza imefika mda naona kengeza na nimewaka bala ndo ikawa mwisho wa kunywa.
 
Mkuu ni yapi madhara ya kunywa pombe hizi bear Serengeti lager hila sio mara kwa mara unakuta Kwa week mara mbili au moja?
Na je ulishawahi kuzikia pombe inaitwa Rozella wine??
 
Mtu kunywa pombe kiasi hakuna madhara. Tena kuna faida kuliko asiyekunywa kabisa. Rosella naifahamu. Unajua kitu chochote chenye sukari kinaweza geuzwa pombe. Sasa ile rosella yale majani ni kwaajili ya ladha na rangi tu. Lakini pombe inatokana na kimea cha ulezi ambacho hutumia. Kwa mimi, ile ni bia zaidi kuliko wine.
 
Nin tufanye kuzuia au kupunguza madhara ya pombe ??

Je ni kweli kunywa pombe kali kama spirit zenye alcohol 35 to 40 afu unywe maji ya moto kuna madhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya maji ya moto sina hakika. Ili kupunguza madhara unahitaji kunywa maji kwa wingi na ule chakula cha kutosha. Chakula, hasa vya mafuta husaidia sana kupunguza madhara ya pombe.

Pia unaweza kumeza Asprin kabla ya kulala. Inasaidia kupunguza hangover Lakini si nzuri sana maana inaweza leta vidonda vya tumbo.
 
Back
Top Bottom