Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni upendezi wa mtu. Mwingine anapenda wine. Mwingine brandy(distilled wine), mwingine stout(chungu na alcohol kubwa kama Guiness), mwingine Ale(ya kunukia matunda kama redds). Na pombe kali nazo zipo nyingi. Kulingana na kilichotengenezewa, Gin, rum, whisky, vodka nk. Ni mapendezi ya mtu na labda jinsi inavyomletea hangover.Bia bora kiafya kwa Tanzania ni ipi?
Distilled alcohol au Gin bora kwa Tanzania ni ipi.
Yote 2 ni kwanini bora!
Ukweli ni kwamba kwa waumini wa furaha, (ya nafs, moyo na roho), afya, upendo, jumuiko, muingiliano, majadiliano na kweli, hatupaswi kujadiliana kati ya kunywa na kutokunywa, bali kunywaje kiafya.
Na watu weng wanachanganya kati ya mnywaji wa pombe na mlevi wa pombe.
Kwa maana wasiokunywa wameonyesha mfano mbaya unaotokana na kutokunywa!
Kwa sasa kutokunywa pombe kabsa ni sawa na kugomea kumiliki smartphone. Vyote ni basic needs!
AhsanteHii ya maji ya moto sina hakika. Ili kupunguza madhara unahitaji kunywa maji kwa wingi na ule chakula cha kutosha. Chakula, hasa vya mafuta husaidia sana kupunguza madhara ya pombe.
Pia unaweza kumeza Asprin kabla ya kulala. Inasaidia kupunguza hangover Lakini si nzuri sana maana inaweza leta vidonda vya tumbo.
Unywaji kupita kiasi ni kupita kile kiasi kinachopendekezwa kwa siku. Na hilo linategemea na ukali wapombe. Mfano bia unaweza kunywa moja au mbili. Wine glass moja au mbili. Na pombe kali labda toti moja. Inategemea sana percent ya alcohol. Ukisema haunywi kila siku halafu wikiendi ukanywa hadi ukabebwa, we ni mnywaji kupita kiasi. Ni bora anayekunywa kidogokidogo kila siku. Kwenye kale kakitabu kuna jedwali linaloonyesha unywaji kupita kiasi na kiasi upo namna gani.Unywaji wa pombe kupita kiasi ni upi??
1 kunywa kilasiku au
2 kunywa mpka kulewa ??
3 je, pombe kalii zina madhara zaid ya bia hata kama wote mtakunywa mkalewa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna namna zipi tunaweza kufanya sasa kutoa au punguza hayo madhara ya pombe.....Unywaji kupita kiasi ni kupita kile kiasi kinachopendekezwa kwa siku. Na hilo linategemea na ukali wapombe. Mfano bia unaweza kunywa moja au mbili. Wine glass moja au mbili. Na pombe kali labda toti moja. Inategemea sana percent ya alcohol. Ukisema haunywi kila siku halafu wikiendi ukanywa hadi ukabebwa, we ni mnywaji kupita kiasi. Ni bora anayekunywa kidogokidogo kila siku. Kwenye kale kakitabu kuna jedwali linaloonyesha unywaji kupita kiasi na kiasi upo namna gani.
Hii inategemea sana na kiasi cha pombe kilichopo. Pombe kali huwa na kiasi kikubwa sana, na huwa hazina maji ya kukata makali kama kwenye bia. Zinakuwa na madhara kuliko bia.
Mfano pombe yenye 35,% maana kwenye kila mls 100. 35mls ni pombe na 65 ni maji. Wakati bia yenye 6% kwenye kila mls 100. 6mls ni pombe na 94 maji. Kiufupi, pombe kali zina madhara zaidi.
Cha muhimu sana ni kutokunywa kupindukia. Ukiona hapa nimeshachangamka unaquit. Pia kuna mbinu za kukufanya usinywe sana. Kama, usiongeze kinywaji kwenye glasi kama kilichopo hakijaisha, kula na kushiba kabla ya kunywa. Kunywa pombe zenye alcohol % ndogo nkKuna namna zipi tunaweza kufanya sasa kutoa au punguza hayo madhara ya pombe.....
Nishakuwa mnywaji na wataalamu wanapendekeza unit 7 (maana ni unit za konyag moja ndogo)sjui kwa week lakin hizo unit ukweli nikuwa haziwez kutosha lolote kumfanya mtu achangamke sasa tufanyaje ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Kwa majibu mazuri Sana Sana je nikuulize la Mwisho ww unatumia kilaji?Mtu kunywa pombe kiasi hakuna madhara. Tena kuna faida kuliko asiyekunywa kabisa. Rosella naifahamu. Unajua kitu chochote chenye sukari kinaweza geuzwa pombe. Sasa ile rosella yale majani ni kwaajili ya ladha na rangi tu. Lakini pombe inatokana na kimea cha ulezi ambacho hutumia. Kwa mimi, ile ni bia zaidi kuliko wine.
Ni zipi hizo faida.Tena kuna faida kuliko asiyekunywa kabisa.
Mhh funguka zaidi ili tupate madini kwa ambao hatufahamu ladha ya pombe.Kwa sasa kutokunywa pombe kabsa ni sawa na kugomea kumiliki smartphone
Natumia. Lakini si mlevi kama miaka kadhaa iliyopita.Asante sana Kwa majibu mazuri Sana Sana je nikuulize la Mwisho ww unatumia kilaji?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wanywaji kiasi huwa na afya bora kuliko wasiokunywa kabisa. Moja ya faida ni kupunguza mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu. Magonjwa kama minyoo na mengine ya tumbo anayadhibiti. Na ile furaha nayo ni faida.Ni zipi hizo faida.
Si kweli. Japo kuna nchi kinywaji kikiwa na alcohol percent chini ya 0.5 huhesabika ni non-alcoholic. Unaweza shangaa mtu kachangamka lakini kinywaji alichokunywa kimeandikwa hakina pombe. Kumbe kina 0.5Je ni kweli kuna pombe hazina kilevi?