Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Hapana, hizi mpaka sehemu special. Rehab, clinic. Tz sidhani kama tunazo.Disulfiram inapatikana kirahisi maduka ya madawa kama inavyopatikana kirahisi diazepam? Je kuna sehem special anaweza patiwa hii huduma mpaka akaacha kabisa?
Ladha na burudaani,na kiasi Cha madhara baada ya kutumiaMtu anatumia vigezo gani kunywa pombe fulani na si nyingine?
madhara kama yapiDawa ya kuzuia madhara ya kuacha pombe ni kama valium(Diazepam). Hii hufanya kazi kama pombe hivyo mtu huepuka witdrawal syndrome. Dawa za kusaidia kuacha ni kama disulfiram. Hii mtu akitumia inakuwa kama yamini, akigusa pombe anapata madhara yatayomfanya asitamani kabisa pombe.
Lakini madhara yatokanayo na kuacha pombe huwakuta wanywaji masugu tu.
1. Kutetemekamadhara kama yapi
dawa ya kuacha pombe ni hiari yako mwenyeweDawa za kuzuia madhara ya kuacha pombe ni zipi hizo? Na dawa za kuacha pombe ni zipi? Naomba uende deep nahitaji kufahamu zaid
Mkuu, kama mtu bado hajaanza matumizi ya pombe, anaweza kutumia hizo dawa kama tahadhari ili asije igusa kamwe? Maake nina bebe wangu anapiga k vant sio poa, kila siku ananishawishi nizitwange ili nashindwa, najiuliza nikilewa itakuwaje? Kama tu sijalewa, nikipata vibe la muziki tu nakuwa excited! Nisije kutengenezea moyo aibu [emoji23][emoji23]Dawa ya kuzuia madhara ya kuacha pombe ni kama valium(Diazepam). Hii hufanya kazi kama pombe hivyo mtu huepuka witdrawal syndrome. Dawa za kusaidia kuacha ni kama disulfiram. Hii mtu akitumia inakuwa kama yamini, akigusa pombe anapata madhara yatayomfanya asitamani kabisa pombe.
Lakini madhara yatokanayo na kuacha pombe huwakuta wanywaji masugu tu.
kuna jamaa alikuwa hanywi sasa ikatokea akanywa.Mkuu, kama mtu bado hajaanza matumizi ya pombe, anaweza kutumia hizo dawa kama tahadhari ili asije igusa kamwe? Maake nina bebe wangu anapiga k vant sio poa, kila siku ananishawishi nizitwange ili nashindwa, najiuliza nikilewa itakuwaje? Kama tu sijalewa, nikipata vibe la muziki tu nakuwa excited! Nisije kutengenezea moyo aibu [emoji23][emoji23]
Hapana, hizi si kwa ambaye hajaanza kunywa. Lakini unaweza kunywa kiasi bila shida. Ila siyo hizo Kvant.Mkuu, kama mtu bado hajaanza matumizi ya pombe, anaweza kutumia hizo dawa kama tahadhari ili asije igusa kamwe? Maake nina bebe wangu anapiga k vant sio poa, kila siku ananishawishi nizitwange ili nashindwa, najiuliza nikilewa itakuwaje? Kama tu sijalewa, nikipata vibe la muziki tu nakuwa excited! Nisije kutengenezea moyo aibu [emoji23][emoji23]
Kuna theory inasema mtu anaonyesha tabia yake halisi akiwa amelewa. In vino veritas.kuna jamaa alikuwa hanywi sasa ikatokea akanywa.
Nyuma kdg, jamaa tukikaa nae tunapenda kuongea story za hip hop music tu na hamna cha alikiba wala jux.
Haya bwna tulikuwa tuna gonga kvant yeye akasema nikali anataka valu, tukamletea ndogo mbili akaanza kunywa.
Ghafla nashaanga jamaa anaanza ku mind anataka na yeye aweke mziki, basi tukamuachia. Aisee alianza kuimba sugar sukari balaa hahahahah anamsifia zuchu sio pouwa. Tukajua hapa hisia zinatawala
k vant nimeichukia bada ya kuingia fake yakeHapana, hizi si kwa ambaye hajaanza kunywa. Lakini unaweza kunywa kiasi bila shida. Ila siyo hizo Kvant.
Pombe nyingi kali huwa zinafake nyingi sana. Hasa za kutoka nje. Wanachofanya, wanachukua ethanol wanachanganya na Methanol. Sababu methanol ni bei rahisi. Lakini hii methanol ni hatari sana. Ukisikia watu wamepofuka kwa chang'aa ni sababu ya hiyo methanol. Hizo pombe kali za kutoka nje unaona watu wanaringishia kuna fake nyingi sana.k vant nimeichukia bada ya kuingia fake yake
kweli mkuu na kama sio mnywaji wa mara kwa mara huwezi jua. hao jamaa sio,Pombe nyingi kali huwa zinafake nyingi sana. Hasa za kutoka nje. Wanachofanya, wanachukua ethanol wanachanganya na Methanol. Sababu methanol ni bei rahisi. Lakini hii methanol ni hatari sana. Ukisikia watu wamepofuka kwa chang'aa ni sababu ya hiyo methanol. Hizo pombe kali za kutoka nje unaona watu wanaringishia kuna fake nyingi sana.
mimi nilikuw na fanya hv nikienda kulala kesho naamka mweupe kama sijanywa na hangover inakataNin tufanye kuzuia au kupunguza madhara ya pombe ??
Je ni kweli kunywa pombe kali kama spirit zenye alcohol 35 to 40 afu unywe maji ya moto kuna madhara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya Moto ukimaanisha yenye kutoa mvuke?Nin tufanye kuzuia au kupunguza madhara ya pombe ??
Je ni kweli kunywa pombe kali kama spirit zenye alcohol 35 to 40 afu unywe maji ya moto kuna madhara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kunywa pombe kiasi hakuna madhara. Tena kuna faida kuliko asiyekunywa kabisa. Rosella naifahamu. Unajua kitu chochote chenye sukari kinaweza geuzwa pombe. Sasa ile rosella yale majani ni kwaajili ya ladha na rangi tu. Lakini pombe inatokana na kimea cha ulezi ambacho hutumia. Kwa mimi, ile ni bia zaidi kuliko wine.Mkuu ni yapi madhara ya kunywa pombe hizi bear Serengeti lager hila sio mara kwa mara unakuta Kwa week mara mbili au moja?
Na je ulishawahi kuzikia pombe inaitwa Rozella wine??
Hii ya maji ya moto sina hakika. Ili kupunguza madhara unahitaji kunywa maji kwa wingi na ule chakula cha kutosha. Chakula, hasa vya mafuta husaidia sana kupunguza madhara ya pombe.Nin tufanye kuzuia au kupunguza madhara ya pombe ??
Je ni kweli kunywa pombe kali kama spirit zenye alcohol 35 to 40 afu unywe maji ya moto kuna madhara?
Sent using Jamii Forums mobile app