Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

Pale Toyota mlinzi anaelinda getini pale Ni graduate Ana bachelor ya eduction

Ila pia nakubaliana na wee kuwa walizni wengi wanainformation za maboss wao na wanazijua ratiba zao
Pia maderva nao pia wanamchamgo wao kwani wanakupa mpk hoteli mabos wao wanapenda kutembelea na sehemu muhimi muhimu

Mm kunadereva alinifungulia Siri zote za boss wake had Aina ya wanawake boss anaowataka na sehem boss anapenda kuwepo week end nilitengeneza urafiki na dereva had hatimae nikakutana na boss wake Kisha namm nikajitambulisha kwa boss [emoji16] .......maisha haya ni Vita

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka umenielewa.
 

Mwang ulikuwa super spy[emoji28]
 
samahani nauliza, hivi kumbe hadi siku hizi bado kuna utaratibu wa kutembea na bahasha?

Nilidhani labda matumizi ya LinkedIn and etc...
yameleta mabadiliko
 
Maofisini watu muhimu kwa kukupa connection ni walinzi au mafanya usafi ....ukienda nao sawa umeula...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…