Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

Huyo jamaa yako mkumbushe kwamba ana miaka 50 mbele sasa asione hivyo alivyo ndivyo itakavyokuwa lawama hatutaki mwambie nimekwambia mimi lawama hatutaki na kama hataki mwache ainjoi ujinga.
MImi sioni shida yake, ni lazima kila mtu ajenge nyumba? Biashara ya kupangisha itakufa. Duniani kote hii biashara ni kongwe, ana miradi yake mikubwa anajimudu kukaa popote. Unafikiri kuwa na nyumba ndiyo kuwa na maisha mazuri?
 
Umesahau jambo moja.

Kuhakikisha huo mtaa hauna mambo ya kishirikina.. unaweza pata nyumba safi tu.. ila sasa hao wapangaji wenzio, majirani au Faza house ni washirikina wa kutupwa.

Kila siku unakutana na Booster (Hirizi) mlangoni na vifuu vya nazi.
 
MImi sioni shida yake, ni lazima kila mtu ajenge nyumba? Biashara ya kupangisha itakufa. Duniani kote hii biashara ni kongwe, ana miradi yake mikubwa anajimudu kukaa popote. Unafikiri kuwa na nyumba ndiyo kuwa na maisha mazuri?
Inaonekana we ndo mshauri wake au unamjaza ujinga nitajie listi ya matajiri waliopanga anza tanzania maliza na duniani.
 
Inaonekana we ndo mshauri wake au unamjaza ujinga nitajie listi ya matajiri waliopanga anza tanzania maliza na duniani.
Kupanga ni kuchagua. Ni maamuzi yake, wahindi wale miaka 30,50 wako bongo kwenye nyumba za NHC Upanga, kariakoo. Wanaishi mbona maisha yanaenda. Tuna ndugu toka anaanza maisha, kaanzia Upanga NHC mpaka leo mtu mzima, kaachia watoto. Nakuuliza kila mtu akijenga hii biashara itakufa na ni kongwe.
 
Waindi ushawaita waindi kama kuna mswahili mwenye hiyo mentaliti ni hana akili ni sawa na kuacha kununua gari wakati uwezo upo una panda uber na daladala kisa tu umeamua maisha ya binadamu ni vitu 3 vya msingi Mke/Mume (2)nyumba yako (3)usafiri wako huyo jamaa yako ni chokoraa mwenye hela ni hana akili.
 
Ila kwa maisha yetu ya kibongobongo kama uchumi wako ni wa kawaida ni bora ukajenga.
 
Bill ya maji ni shida, mpaka leo tuna mgomo wa kulipa maji kisa kijana wa mwenye nyumba anaedit sms za dawasco kisha analazimisha tulipe… 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…