Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

Kama Dar akihama mtu nishtue.
 
Mimi huwa nakikisha dalali nimempa sifa zote za nyumba ninazotaka.
Anipeleke kunionyesha nyumba yenye sifa nilizompa.
Tukifika mimi ni kuelewana na mwenye nyumba.
Hii huwa inanipunguzia usumbufu wa kuzunguka.
Madalali wanaweza kusifia nyumba ukasema nimepata nyumba nenda sasa
 
Nimelipa leo kodi ya miezi mi4 kwa makubaluano kuwa kuna baadhi ya vitu watamalizia kama vio alminium, gypsum na tails na nimeshaingia ndani leo
Niamini mimi, hatomalizia. Na kisingizio atasema umelipa miezi 4 sio 6.
 
Mimi mwenyewe spendi kupanga nyumba ya watu wengi.sipendi kelele.
Umeme 7,000 kwa mwezi,usafi sifanyiπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜.kutoka saa 11 asubuhi kurudi saa 3.nikifika napika nakula nalala.
7K, kwa mwezi watu mna raha.

Mimi hapa nalipa 20K.
 
Madini matupu
 
Huu ujumbe natamani niweze kushare na wadau wangu na madogo wajue huu ujumbe
 
Kukaa na mwenye nyumba njau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…