Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mtatuchanganya wewe na mweka mada!, wewe unasema ni siri mweka mada anasema utajiri upo mitandaoni!..😬Utajiri ni siri
Ingekua upo mitandaoni ungekuta wengi tu ni matajiri.Mtatuchanganya wewe na mweka mada!, wewe unasema ni siri mweka mada anasema utajiri upo mitandaoni!..😬
wanatuvuruga ndo hawahawa wanatuambia twende veta!Ingekua upo mitandaoni ungekuta wengi tu ni matajiri.
choose wiselyMtatuchanganya wewe na mweka mada!, wewe unasema ni siri mweka mada anasema utajiri upo mitandaoni!..😬
Siri ambayo kamwe hautokuja kuelezwa kizembeUtajiri ni siri
We acha wenge.. umeshajiuliza kama watu wote tutaacha kulima mpunga tuingie mitandaoni wewe utakula nini au utakula hizo keyboard na mouse?Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau.
Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri.
Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri.
Pesa ziko online.
Waache walime wewe tumia mitandao kuuza hayo mazao yao .
Usihangahike na mikorokoro, .
USIKAE na minguo dukani hujui mteja atatokea wapi .
Lazima uijue nguvu ya mtandao.
Unataka kuwa tajiri kwa kubeba mtu mmoja mmoja kwenye bodaboda, sahau.
Unataka kuwa tajiri kwa kulipwa million 1 kwa mwezi, sahau utajiri.