Kama unataka drama katika maisha yako date mwanaume ambae hanywi

Una kitu, usikilizwe
Sema weekdays zinatusaidia sana tuko kazi
Lakini nikikumbuka weekend ambazo nimeamua kuwa sober, na kukaa nyumbani, huwa naona kila kitu ndani ya nyumba hakiko sawa kuanzia pilika zake zisizoisha na makelele ya watoto, lazima tutakwaruzana.
Kweli ukiwa tipsy unaona kila kitu sawa
 
Afu wengi wao huwa wana gubu,vijikesi vya kijinga jinga wanapenda..ninao washkaji zangu wa hivyo..daily wanasolve vijikesi vya kipuuzi na wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…