Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Una kitu, usikilizweKama unataka drama za ajabu ajabu na mitafaruko isiyoweza kuepukika basi date mwanaume ambae hanywi kilevi chochote au havuti. Utaona dunia chungu.
Wanajikutaga wajuaji alaf wengi wao ni narcissist na manipulator. Watakupelekesha utajuta kumfahamu. Wanapenda uch.i kama ndo chakula chao.
Wanaume wasiokunywa sio waaminifu hata kidogo. Inatakiwa uwe na kichwa ngumu kweli kweli kuolewa na mwanaume wa aina hii!!
Sema weekdays zinatusaidia sana tuko kazi
Lakini nikikumbuka weekend ambazo nimeamua kuwa sober, na kukaa nyumbani, huwa naona kila kitu ndani ya nyumba hakiko sawa kuanzia pilika zake zisizoisha na makelele ya watoto, lazima tutakwaruzana.
Kweli ukiwa tipsy unaona kila kitu sawa