Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

The only time a modern woman want real man to settle with is when she has been demaged beyong repair.

Don't pity her for these deceives, it's a trap.
By that time she may be ready she is already a career or a victim of the dangerous syndrome so a wise man no need to engage with the so called modern woman, labda kama umechoka kuishi feminist ni hatari kwa maishako na watoto wako......
 
Vijana mnaojitafuta tunawaombea maana ajira hamna...mna kazi za kuunga unga tuu...maisha yenu magumu..ukutane tena na mjuaji akupande kichwani ndo utapagawa zaidi...ndo maana malalamiko ya nguvu za kiume yamekua mengi..kilichobaki vijana wameona bora waolewe wao......
Ni majanga kwakweli...
 
Kama utani vile lakini kiukweli wanaume wengi waliokuwa wanajiona magentlemen wanakimbia sana nyumba zao walizozijenga kwa kudunduliza na mafeminist. Kuna mwingine huyo jana ananiambia kamwe hatarudi kwenye nyumba yake kutokana navurugu za mkewe aliempeleka mpaka mahakamani na kutaka afungwe kwa kuwa tu alibutuliwa kutokana na mdomo wake mrefu kama sosoni.

Kuna unafuu kidogo kwa wale waliooa la saba B kutokea ndichindichi huko.
 
Na feminist hupenda na kulenga sana ma-gettlemen wasio penda ugomvi funjo na aibu feminist yoyote hana huruma hata huumie kiasi gani ndo furaha yake, tena jingine kubwa feminist hawapendi watoto wao wa kuzaa hawana passion na watoto iko tayari kukuambia ondoka na mwanao, jitahidi kuepuka hao viumbe utaugua high pressure bure na ufe mapema.
 
Ujinga ni kujenga nyumba Kwa mkopo .
Mbili unakimbiaje mwanamke na nyumba uliyoijenga Kwa mateso makali ya mkopo no never.
Ukiwa mwanaume u have to push hard to the limit
 
Ujinga ni kujenga nyumba Kwa mkopo .
Mbili unakimbiaje mwanamke na nyumba uliyoijenga Kwa mateso makali ya mkopo no never.
Ukiwa mwanaume u have to push hard to the limit
Mkuu utauliwa bure hiyo nyumba utaifaidi "never ever undermine awoman's mind" ma baharia wengi wana kufa kwa akili za kijinga kama hizo nyumba nini ni kwa uhai wako, feminist ni hateri usiwasogelee wa kiamua jambo hao viumbe hawana huruma na mwanaume.
 
Best wife material Ni house girl mstaafu.
Akili mtatumia zako.
Anajua kupika, kutunza nyumba na watoto, nidhamu ya Hali ya juu halafu huko chini Ni natural.
Sasa wewe oa mwenye master's, huko chini mauzauza, hashiki ufagio, ana aleji na jiko, kuosha vyombo kwake mwiko Hala kwa disturbance ndio mwenyewe.
Wanaume wengi wenye michepuko wake zao ndio hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…