Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie.
Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu!
(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : Ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko nje, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea).