Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume..wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma....utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah umenikumbusha mbali sana , asante kwa kunitengenezea siku ya furaha .
 
Mwanaume ukifikia stage ya kutongozwa (KWA MZAHA) basi ww una shida, haupo sawa.

Wanawake wanajua kabisa fulani sio mtu wa kumfanyia masikhara, fulani ni ndezi ndezi tunaweza mchezea.

Ndio maana kuna watu wanawajua kabisa kwamba dakik mbili mbele kakuvua chupi. Hawaletagi mzaha.
Huyo huyo mjanja siku hiyo hataamini kama kawa bwege kashindwa to turn the discussion on his benefits, atabakia kukupa ahadi, na excuse nyingi.....na sisi tulikuwa tunakomalia hapohapo yaan hata mbele ya darasa tena tunamtongoza akiwa na wenzake wanasikia
 
We ulikuwa unatania, Yani unamtongoza mtu mbele ya watu? Ushawahi kuona wapi? Mbananishe kichochoroni au mualike getto, mpikie supu ya pweza, vaa kanga moja halafu anza kumtongoza🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom