Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Huyo huyo mjanja siku hiyo hataamini kama kawa bwege kashindwa to turn the discussion on his benefits, atabakia kukupa ahadi, na excuse nyingi.....na sisi tulikuwa tunakomalia hapohapo yaan hata mbele ya darasa tena tunamtongoza akiwa na wenzake wanasikia
Ukileta huo utani kwangu nakufukuza coz huwa sio mtu wa mzaha mzaha
 
Mfano unakutana na mtu Kama makaveli10 hapo hajui kukataa, ukimwambia nataka nikubusu anakujibu "come on babe" unafanyaje?
Mi Kwa kweli siwezi kucheza na Moto😂😂
Tena asijitusu, mie sinaga utani..
Akishaniambia ananipenda sisubiri aniombe kunibusu, jibu langu namuomba denda kabisa, ili ajue nimekubali mazima.
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume..wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma....utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
Umenikumbusha wakati nipo undergraduate, kuna mrembo mmoja alianza mazoea na mm akanitongoza tulipofanya mapenzi tuu akaniacha, aisee siwez sahau ile kitu.
Alinifanyia ile HIT AND RUN, sikuamini macho yangu.
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume..wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma....utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
Mlongo kyanii..!!!??
 
Back
Top Bottom