Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,094
Utaliwa kimasihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....oooh ujue tayari nina girlfriend itakuwa vigumu....No no please i just wanna to be your side chick na nataka tuondoke muda huu tukapumzike.....oooh mim nina pepa next week.... I HAVE TO TENA KWA WIKI HIIHII...Naomba nikubusu.... hapa hapana tusogee kidogo au njoo jioni....NO NO I WANT IT KNOW AND RIGHT HERE...haahaaahMioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini🤣
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru🤣 Angalia usije kubakwa tu😂😂😂
Nikatae ili iweje, kuna wanaume wangapi kawaona, hajawafata kanifata mie.. ni mwendo wa NAKUPENDA PIA tu.Hujui kukataa mkaka wa watu 😂😂😂
umekuwa muwazi....mkaka lazima akatae muda ule baadae after some days anaanza kukutafuta..plse sikuwa namaanisha naomba urudie yale manenoNishawakataa wadada zaidi ya wawili waliokuja kunitongoza. Hii kitu kipo.
Sikuweka focus kubwa sana kwenye mahusiano, niliwaona kama wataharibu malengo yangu.
Ntajaza seva bure 😂Half american njoo utoe ushuhuda
Utajuta kuwa handsome af mdhungu😅Ntajaza seva bure 😂
Hata sasa nasumbuliwa sitaki
NAKAZIAUzoefu wangu, sijawahi tongozwa na mtoto wa kike na nikamkatalia, mie ni maharage ya mbeya, sijui kukataa..
Nimnyime ya nini hili RUNGU KIPEPE litakija kuliwa na nyenyere tu
Hiiiii(in mwendazake voice).....oooh ujue tayari nina girlfriend itakuwa vigumu....No no please i just wanna to be your side chick na nataka tuondoke muda huu tukapumzike.....oooh mim nina pepa next week.... I HAVE TO TENA KWA WIKI HIIHII...Naomba nikubusu.... hapa hapana tusogee kidogo au njoo jioni....NO NO I WANT KNOW AND RIGHT HERE...haahaaah
Vyote ulivyovitaja sina na hela pia sina labda ni huu uchebe na urefu 😄Utajuta kuwa handsome af mdhungu😅
🤣🤣Vyote ulivyovitaja sina na hela pia sina labda ni huu uchebe na urefu 😄
Tulikuwa tunachagua randomly, ...we kaka naitwa marytina na nashindwa kujizuia kuwa mkweli juu yako....nakuonaga najizuia ila leo bora niseme (MKAKA ANAANZA KUTOA MACHO) , nakupenda na naitaji nikukumbatie hapahapa naikifaa twende off campus tukapumzikeUtajuta kuwa handsome af mdhungu😅
Mi najua ni sehemu ya mwili tu hayo mengine siyajui. 😂🤣🤣
Huo uchebe ndio utakua unawavutia, nasikia una kazi maalum
Mfano unakutana na mtu Kama makaveli10 hapo hajui kukataa, ukimwambia nataka nikubusu anakujibu "come on babe" unafanyaje?.....oooh ujue tayari nina girlfriend itakuwa vigumu....No no please i just wanna to be your side chick na nataka tuondoke muda huu tukapumzike.....oooh mim nina pepa next week.... I HAVE TO TENA KWA WIKI HIIHII...Naomba nikubusu.... hapa hapana tusogee kidogo au njoo jioni....NO NO I WANT IT KNOW AND RIGHT HERE...haahaaah
Hahahah..nimecheka daahMioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini🤣
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru🤣 Angalia usije kubakwa tu😂😂😂
Inabidi boss uandae uzi maalumu baada ya huu, kuelezea jins wadada wanavyokuwaga kitandani baada ya kuwakubalia wakitutongozagasio mtutongoze tu, mtupe pia....
na sisi mtufanyie hit and run, hatutolalamika😁
Yani kwangu mimi hivyo n vitu vya kawaida ntakuhug mpaka ujute kunifuataTulikuwa tunachagua randomly, ...we kaka naitwa marytina na nashindwa kujizuia kuwa mkweli juu yako....nakuonaga najizuia ila leo bora niseme (MKAKA ANAANZA KUTOA MACHO) , nakupenda na naitaji nikukumbatie hapahapa naikifaa twende off campus tukapumzike